KIONGOZI wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, James Kibosho, hivi majuzi
alimtambulisha mchumba wake, aitwaye Rhoda Kibosho.

Mwanamuziki huyo
alimtambulisha kimwana huyo kwa mtandao huu jijini Dar es Salaam wiki hii
walipopigwa picha sehemu ambayo hawakutaka ifahamike kwa sasa.
No comments:
Post a Comment