AKIONGEA na blog hii kiongozi wa skylight band ANETH KUSHABA amesema ijuma hi wameamua kuifanya tofauti zaidi na kuwa kama zawadi kwa mashabiki wao wanaohudhuria kila siku na kuona mabadiliko zaidi katika show watakaoifanya siku hiyo ambayo itatawalia na nyimbo za kiafrica zaidi na mavazi ya kiafrica yatatawala usiku huo huku mshindi atakae vaa kiafrica zaidi kuzawadia na wanaskylight wenyewe,huku akisema lengo ni kukuza muziki wa kiafrica na utmaduni wa kiafrica zaidi ingawa amesema huo sio mwsho wa showkama izo zitakua nyingi tofauti tofauti na hii ikiwa ni kuboresha zaidi na kuwapa mashabiki wa bendi hiyo hamu ya kuendelea kuwa na kwa kufanya vitu tofautizaidi katika muziki wa live

No comments:
Post a Comment