WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Thursday, August 29, 2013

BAADA YA KUFUNGA NDOA HIVI KARIBUNI CHALZ BABA ASEMA NDOA YAKE NDIO CHACHU YA KUMFANYA KAZI NZURI ZAIDI APANIA KUCHUKUA TUZO NYINGINE

Bwaba Harusi CHALZ baba kingunge rais wa mashuja musica band asema anaamini ndoa yake ndio chachu ya kuweza kumfanya aendelee kufanya kazi nzuri zaidi na kuweza kuendelea kuwa kuwa mtunzi bora wa mashairi ya band ambapo mwaka jana aliweza kuchukua tuzo hiyo kwa wimbo alioutunga wa risasi kidole ambao ndio ulikua bora wa mwaka wa band 2012/2013 na sasa amesea yupo kikazi zaidi...

Wednesday, August 21, 2013

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...