WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

TANGAZA NASI SASA

Tuwasiliane kwa Email: gmbongo.chuma@gmail.com

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Keep you Entertained always

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Habari na Burudani

WELCOME TO GMBONGO WORLD

Kwa habari za Burudani na zenye uhakika.

WAY

Thursday, August 29, 2013

BAADA YA KUFUNGA NDOA HIVI KARIBUNI CHALZ BABA ASEMA NDOA YAKE NDIO CHACHU YA KUMFANYA KAZI NZURI ZAIDI APANIA KUCHUKUA TUZO NYINGINE

Bwaba Harusi CHALZ baba kingunge rais wa mashuja musica band asema anaamini ndoa yake ndio chachu ya kuweza kumfanya aendelee kufanya kazi nzuri zaidi na kuweza kuendelea kuwa kuwa mtunzi bora wa mashairi ya band ambapo mwaka jana aliweza kuchukua tuzo hiyo kwa wimbo alioutunga wa risasi kidole ambao ndio ulikua bora wa mwaka wa band 2012/2013 na sasa amesea yupo kikazi zaidi na kusema nyimbo ambazo wataingiza studio hivi karibuni kuzirekodi kama vile USIIDHARAU SIFURI, NA USHAMBA WA MZIGO anaamini zitakua moto wa kuotea mbali kutokana na sasa zimeshakua gumzo katika sehemu mbalimbali wanazopiga wimbo hizo kabla ya kurekodi na kusema kuwa ataendelea kuwa mtunzi bora wa band mpka kufa kwake,
licha ya hayo chalz baba amesema mashujaa musica band wako mbioni kukamlisha album yao ya pili tangu yeye afike katikaband hiyo na kuongeza kuwa nyimbo nyingi zimeshakamilika na ziko katika hatua za mwisho za kuwekza kurekodiwa ili ziweze kuwafikia wadau na mashabiki wao
                                    bwana harusi chalz na bi harusi rehema

Wednesday, August 21, 2013

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...