WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

TANGAZA NASI SASA

Tuwasiliane kwa Email: gmbongo.chuma@gmail.com

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Keep you Entertained always

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Habari na Burudani

WELCOME TO GMBONGO WORLD

Kwa habari za Burudani na zenye uhakika.

WAY

Tuesday, November 22, 2011

MTWARA KUWAKA MOTO KWA MASAUTI KUTOKA KWA AKUDO IMPACT VIJANA WA MASAUTI

KWA MARA YA KWANZA AKUDO IMPACT WANAKUJA KUZINDUA BAADHI YA NYIMBO AMBAZO ZITAPATIKANI KWENYE ALBUM YAO YA HISTORY NO CHANGE
 Ikiwa ni chini ya safari radio fm 89.9 ijumaa hii ya tar-25 na jumamosi ya tar-26 watapiga katika mkoa wam twara ikiwa ijumaa ni ndani ya MAKONDE BEACH CLUB ndani ya manispaa ya mtwara -mikindani huku jumamoc ikiwa ndani ya BR NIGHT PARK MASASI,
  Wakiongozwa na presedent wao CRISTIAN BELLA a.k.a OBAMA .vice presedent TARSIS MASELA,TOTO ZE BINGWA SABA MARA SABA,KANAL TOP,ALAIN KABASELE MTOTO WA PEPE KALE,ZEGERB na wengine kibao ambao watakuja kutambulishwa siku  ya show hizo mbili
   CRISTIAN BELLA RAIS WA AKUDO IMPACT VIJANA WA MASAUTI


   TARSIS MASELLA- MKURUGENZI WA FASHEN-VICE PRESIDAA WA AKUDO IMPACT

  TOTO ZE BINGWA RAPER WA AKUDO IMPACT

             KANAL TOP RAPER MWINGINE WA AKUDO IMPACT
     TAYARI AKUDO wamakwisha achia vibao vitatu katika historia no change vikiwa vya UBINAFSI na USIWAFATE WAMBEA vyote ikiwa ni utunzi wa TARSIS MASELLA na kingine ni UMEJIFICHA WAPI utunzi wa CRISTIAN BELLA. NA AKUDO IPMCT WAKO MBIONI KUACHIA ALBUM YA HISTORY NO CHANGE.

Saturday, November 19, 2011

gmbongo tha intertainer: JE WATAKA KUWAJUA WANAOUNDA BAND YA KITANZANIA INA...

gmbongo tha intertainer: JE WATAKA KUWAJUA WANAOUNDA BAND YA KITANZANIA INA...: KAA TAYARI KUWAJUWA WANAOUNDA TWANGA PEPETA SUGU JE UPO TAYARI? MJUE LUIZER NYONI MBUTU,JANET ISINIKA,KHADIJA MNOGA KIMOBITEL,AMIGOLASI B...

JE WATAKA KUWAJUA WANAOUNDA BAND YA KITANZANIA INAYOTIKISA KATIKA MEDANI YA MUZIKI WA DANSI NCHINI-THE AFRICAN STARS- TWANGA PEPETA INTERNATIONAL a.k.a SUGU

KAA TAYARI KUWAJUWA WANAOUNDA TWANGA PEPETA SUGU JE UPO TAYARI?
  MJUE LUIZER NYONI MBUTU,JANET ISINIKA,KHADIJA MNOGA KIMOBITEL,AMIGOLASI BABA NA SOFII, SALEHE KUPAZA,MUUMINI MWINJUMA,CHALZA BABA,DOGO RAMA,MSAFIRI DIOF,GREYSON SEMSEKWA,ANCO VENA,J4,MCD,JAMES KIBOSHO,VOCTOR MKAMBI,MIRAJI SHAKASHIA SHAKA ZULU,JOJO JUMAMANNE,GODFREY KANUTI,NA WENGINE KIBAOOOOOOOOOOOO..........
 GET READY SOOOOOOOOON!


    SAFU WA WAIMBAJI WA TWANGA PEPETA INTERNATIONA L a.k.a SUGU UZINDUZI DUNIA DARAJA




    SAFU YA WANENGUAJI WA TWANGA PEPETA- KATIKA UZINDUZI DUNIA DARAJA

Tuesday, November 1, 2011

KAA TAYARI KUIPOKEA NYIMBO MPYA KUTOKAS KWA Q BAND-IKIONGOZWA NA MWANADADA MWENYE SAUTI YA TANZANITE LEAH MOUDY

 Q BAND ni band changa lakini yenye wasanii wenye malukuki ya vipaji kutoka na kup-iga nyimbo za aina zote ikiwani rhumba.sebene,kwaito,bongo flever,r n b na staily nyingine nyingi ikiwani kwa kuimba kwa kukandamizia nikiwa na maana copy au kwa kupiga za kwao nikiwa na maana ya original Q BAND inapiga pale trinity kila jumamosi  kaa tayari kabisa kuisikiliza nyimbo ya NJIWA kutoka kwa Q BAND ikiwani katika miondoko ya MORDEN KWAITO
Q BAND inaundwa na wakali kama leah moudy mwenyewe mwanadada aliesumbua katika shindalo la BSS 2006-2007 na vile vile katika mashindano ya TUSKER PROJECT FAME 2010 huku akitamba na vibao kama SIWEZI iliyo katika miondoko ya ZOUK

                                        MADAM PRESIDENT LEAH MOUDY
                                       NURUELY MMOJA KATI YA WAKALI WA Q BAND

                                     SIZ Q MKALI MWENGINE KUTOKA Q BAND

                          THE Q BAND WAKIWA MZIGONI

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...