WAY

Tuesday, November 1, 2011

KAA TAYARI KUIPOKEA NYIMBO MPYA KUTOKAS KWA Q BAND-IKIONGOZWA NA MWANADADA MWENYE SAUTI YA TANZANITE LEAH MOUDY

 Q BAND ni band changa lakini yenye wasanii wenye malukuki ya vipaji kutoka na kup-iga nyimbo za aina zote ikiwani rhumba.sebene,kwaito,bongo flever,r n b na staily nyingine nyingi ikiwani kwa kuimba kwa kukandamizia nikiwa na maana copy au kwa kupiga za kwao nikiwa na maana ya original Q BAND inapiga pale trinity kila jumamosi  kaa tayari kabisa kuisikiliza nyimbo ya NJIWA kutoka kwa Q BAND ikiwani katika miondoko ya MORDEN KWAITO
Q BAND inaundwa na wakali kama leah moudy mwenyewe mwanadada aliesumbua katika shindalo la BSS 2006-2007 na vile vile katika mashindano ya TUSKER PROJECT FAME 2010 huku akitamba na vibao kama SIWEZI iliyo katika miondoko ya ZOUK

                                        MADAM PRESIDENT LEAH MOUDY
                                       NURUELY MMOJA KATI YA WAKALI WA Q BAND

                                     SIZ Q MKALI MWENGINE KUTOKA Q BAND

                          THE Q BAND WAKIWA MZIGONI

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...