WAY

Tuesday, November 22, 2011

MTWARA KUWAKA MOTO KWA MASAUTI KUTOKA KWA AKUDO IMPACT VIJANA WA MASAUTI

KWA MARA YA KWANZA AKUDO IMPACT WANAKUJA KUZINDUA BAADHI YA NYIMBO AMBAZO ZITAPATIKANI KWENYE ALBUM YAO YA HISTORY NO CHANGE
 Ikiwa ni chini ya safari radio fm 89.9 ijumaa hii ya tar-25 na jumamosi ya tar-26 watapiga katika mkoa wam twara ikiwa ijumaa ni ndani ya MAKONDE BEACH CLUB ndani ya manispaa ya mtwara -mikindani huku jumamoc ikiwa ndani ya BR NIGHT PARK MASASI,
  Wakiongozwa na presedent wao CRISTIAN BELLA a.k.a OBAMA .vice presedent TARSIS MASELA,TOTO ZE BINGWA SABA MARA SABA,KANAL TOP,ALAIN KABASELE MTOTO WA PEPE KALE,ZEGERB na wengine kibao ambao watakuja kutambulishwa siku  ya show hizo mbili
   CRISTIAN BELLA RAIS WA AKUDO IMPACT VIJANA WA MASAUTI


   TARSIS MASELLA- MKURUGENZI WA FASHEN-VICE PRESIDAA WA AKUDO IMPACT

  TOTO ZE BINGWA RAPER WA AKUDO IMPACT

             KANAL TOP RAPER MWINGINE WA AKUDO IMPACT
     TAYARI AKUDO wamakwisha achia vibao vitatu katika historia no change vikiwa vya UBINAFSI na USIWAFATE WAMBEA vyote ikiwa ni utunzi wa TARSIS MASELLA na kingine ni UMEJIFICHA WAPI utunzi wa CRISTIAN BELLA. NA AKUDO IPMCT WAKO MBIONI KUACHIA ALBUM YA HISTORY NO CHANGE.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...