WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

TANGAZA NASI SASA

Tuwasiliane kwa Email: gmbongo.chuma@gmail.com

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Keep you Entertained always

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Habari na Burudani

WELCOME TO GMBONGO WORLD

Kwa habari za Burudani na zenye uhakika.

WAY

Saturday, September 20, 2014

KUIGA IGA STYLE ZA MUZIKI KUNAPOTEZA MUZIKI WA DANSI UELEKEO NA KUKOSA MUZIKI WA TANZANIA- NYOSHI EL SAADAT



                              NYOSHI EL SAADAT
Kutojielewa kwa wanamuziki wa Tanzania na kuiga kila style ya muziki unaoingia nchini ndio kunawafanya washindwe kutamba kwa muda mrefu na kufanya muziki wa rhumba kuendelea kusimama pale pale na kuwa Icon ya Muziki wa Kiafrika mingine itakuja itapotea na Media ziweze kujua upi mziki wa ukweli na upi wa uongo Tanzania itaweza kubadilika katika muziki.......... sio maneno yangu ni Rais wa Vijana wa Band ya Fm Academia, Wazee wa Pamba, Wazee wa Bling, Nyoshi El Saadat sauti ya simba

Nyosi amesema hata media nyingi zinatoa vipaumbele kwenye nyimbo zenye mahadhi fulani tu kwa wakati huo bila kujua kuna muziki ambao huwa haufi na na pia kutolea mfano wanaoiga nyimbo za kinigeria na kusema hata wakipiga kama wao lakini hawawezi kupata soko katika nchi hizo kwa kuwa mashabiki wa sehemu hizo wanathamini kilicho chao zaidi.

Nyosho amewataka wasanii wa muziki wa Dansi nchini waongeze ubunifu ili waweze kwenda na wakati uliopo na kuweza kunyanua muziki huu ambao baadae utaonekana wenye asili ya kitanzania na kiafrika zaidi.

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...