
Band inayokuja kwa kasi ya ajabu katika muziki wa dansi nchini tanzania MASHUJAA MUSIC BAND imeachia nyimbo NNE mfululizo huku nyingine mbili zikiwa bado zinatamba kwenye vituo kadhaa vya radio ambazo ni HUKUMU YA MNAFIKI na UNGENIELEZA ambayo ni utunzi wa chalz baba baada ya kutua katika kundi hilo na kuiachia kama zawadi kwa mashabiki wake
NNE walizoziachia ni...