WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Sunday, January 25, 2015

MWIGIZAJI WA FILAMU ZA KISWAHILI ASHELY TOTO AZUA UTATA WA AMBER ROSE MITANDAONI PICHA ZAKE ZASAMBAA

PICHA YA SEXY YA MWIGIZAJI ASHLEY TOTO YAVUJA MITANDAONI Mwigizaji tena promoter wa muziki raia wa Kenya ambaye makao yake yako nchini Ujerumani, Ashley Toto, amewaacha midume vinywa wazi baada ya picha zake za kitandani kuvuja kwenye mitandao ya kijamii huku sehemu muhimu za mwili wake zikiwa wazi. Ashley Toto anayetamba katika filamu ya Moyo wangu aliyo higiza pamoja...

Thursday, January 22, 2015

JESHI LA POLISI LAZINDUA MPANGO WA KUKABILIA NA MAJAMBAZI GEITA,KAGERA NA KIGOMA

    Kamanda wa polisi mkoa we Kagera Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi Henry Mwaibambe   JESHI la Polisi mikoa ya Kigoma,Kagera na Geita limezindua mpango endelevu wa kuuangamiza mtandao wa uhalifu wa kutumia silaha kwa kuwatahadharisha wananchi kuepukana na tabia ya kuwakarimu wageni wanaowatilia mashaka na badala yake wawaripoti Polisi...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...