WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Saturday, December 3, 2011

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SHOW YA VIJANA WA MASAUTI AKUDO IMPACT MTWARA NA MASASI

 TAZAMA VIJANA WA MASAUTI WALIVYOFANYA BALAA KUSINI MWA TANZANIA        TARSIS MASELA a.k.a RAIS WA FASHENI a.k.a JOTO AKIFANYA VITU VYAKE    CRISTIAN BELLA a.k.a RAIS WA MASAUTI a.k.a APTOCALYPTO BELLA       ZEGREB a.k.a SURA MVUTO AKIKAMUA VILIVYO NDANI YA MTWARA                  ...

Tuesday, November 22, 2011

MTWARA KUWAKA MOTO KWA MASAUTI KUTOKA KWA AKUDO IMPACT VIJANA WA MASAUTI

KWA MARA YA KWANZA AKUDO IMPACT WANAKUJA KUZINDUA BAADHI YA NYIMBO AMBAZO ZITAPATIKANI KWENYE ALBUM YAO YA HISTORY NO CHANGE  Ikiwa ni chini ya safari radio fm 89.9 ijumaa hii ya tar-25 na jumamosi ya tar-26 watapiga katika mkoa wam twara ikiwa ijumaa ni ndani ya MAKONDE BEACH CLUB ndani ya manispaa ya mtwara -mikindani huku jumamoc ikiwa ndani ya BR NIGHT PARK MASASI,  ...

Saturday, November 19, 2011

gmbongo tha intertainer: JE WATAKA KUWAJUA WANAOUNDA BAND YA KITANZANIA INA...

gmbongo tha intertainer: JE WATAKA KUWAJUA WANAOUNDA BAND YA KITANZANIA INA...: KAA TAYARI KUWAJUWA WANAOUNDA TWANGA PEPETA SUGU JE UPO TAYARI? MJUE LUIZER NYONI MBUTU,JANET ISINIKA,KHADIJA MNOGA KIMOBITEL,AMIGOLASI B...

JE WATAKA KUWAJUA WANAOUNDA BAND YA KITANZANIA INAYOTIKISA KATIKA MEDANI YA MUZIKI WA DANSI NCHINI-THE AFRICAN STARS- TWANGA PEPETA INTERNATIONAL a.k.a SUGU

KAA TAYARI KUWAJUWA WANAOUNDA TWANGA PEPETA SUGU JE UPO TAYARI?   MJUE LUIZER NYONI MBUTU,JANET ISINIKA,KHADIJA MNOGA KIMOBITEL,AMIGOLASI BABA NA SOFII, SALEHE KUPAZA,MUUMINI MWINJUMA,CHALZA BABA,DOGO RAMA,MSAFIRI DIOF,GREYSON SEMSEKWA,ANCO VENA,J4,MCD,JAMES KIBOSHO,VOCTOR MKAMBI,MIRAJI SHAKASHIA SHAKA ZULU,JOJO JUMAMANNE,GODFREY KANUTI,NA WENGINE KIBAOOOOOOOOOOOO..........  GET...

Tuesday, November 1, 2011

KAA TAYARI KUIPOKEA NYIMBO MPYA KUTOKAS KWA Q BAND-IKIONGOZWA NA MWANADADA MWENYE SAUTI YA TANZANITE LEAH MOUDY

 Q BAND ni band changa lakini yenye wasanii wenye malukuki ya vipaji kutoka na kup-iga nyimbo za aina zote ikiwani rhumba.sebene,kwaito,bongo flever,r n b na staily nyingine nyingi ikiwani kwa kuimba kwa kukandamizia nikiwa na maana copy au kwa kupiga za kwao nikiwa na maana ya original Q BAND inapiga pale trinity kila jumamosi  kaa tayari kabisa kuisikiliza nyimbo...

Friday, October 28, 2011

FATILIA PICHA ZA SHOW YA FM ACADEMIA KUSINI MWA TANZANIA -NDANI YA MTWARA

HIVI NDIVYO WAZEE WA NGWASUMA WALIPOFANYA BALAA LAO PALE MASASI NDANI YA BR NIGHT CLUB.                                 PATCHO MWAMBA TAJIRI AKIFANYA VITU VYAKE!    MULE MULE FBI AKIKONGA MASHABIKI                   ...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...