
LE KAMARADE ALLY CHOKI A.K.A KIBABU CHA LOLIONDO
Alizaliwa miaka 41 katika mkoa wa pwani wilaya ya kibaha na kupatia elimu yake ya msingi akiwa ameipatia mkoa huo huo wa kibaha lakin kwa asili ni mwenyeji wa kusini mwa Tanzania
LE KAMARADE ALLY CHOKI alianza kujingiza katika tasnia ya muziki rasmi mnamo mwaka 1987 na band ya sehemu alikokulia...