WAY

Wednesday, September 28, 2011

KAA TAYARI KWA KUNDI JIPYA LA TAARABU LENYE WASANII LUKUKI WENYE VIPAJI


                NI T MOTO MORDEN TAARAB
Ni kundi jipya lenye vipaji vingi katika makundi ya taarab yanayochipukia kwa kasi katika ulimwengu wa muziki wa mwambao, ni kundi ambalo liantarajiwa kuzinduliwa rasmi siku ya ijumaa ya tar 28.10.2011
     TANZANIA MOTO MORDEN TAARAB inaundwa na sheni ya wanamuziki wakali akiwemo JOKHA KASIM,SABIHA MAGUMASHI,AISHA MASANJA, BI MWANAHAWA,YOUNG HASSAN ALLY,HANIPHER JUMA,na aliewahi kuwika katika mashindano ya BONGO STAR SEARCH, MRISHO RAJABU,MOSI SULEIMAN na wengine kibao

                                   BI. MWANAHAWA ALLY MZIGONI NA T.MOTO MORDEN TAARAB
Kwa habari za kuamika kuwa kundi la T MOTO TAARAB litazindua album mbili kali huku moja itabeba jina la ALIENIUMBA HAJANIKOSEA ulioimbwa na gwiji na mkongwe wa muziki wa taarabu B. MWANAHAWA ALLY ambao wengi wanaweza kumkumbuka kwa KINYAGO CHA MPAPURE, na nyingine nyingi zilizo tamba sana kipindi hicho, vilevile T MOTO ina mkali JOKHA KASIMU ambae kibao alicho kiiimba ndani ya T MOTO kishaanza kutikisa jiji na nchi kwa ujumla kwa wapenda muziki wa mwambao UNAVYOJIDHANI HAUFANANI.

                    JOKHA KASSIM MOJA KATI YA WAKALI WA T MOTO MORDEN TAARAB
Kwa mujibu wa mzee katumba kwa kuanza wataanza na nyimbo kibao na akizitaja nyimbo zitakazo kuwepo kwenye album hiyo ni pamoja na ALIYENIUMBA HAJANIKOSEA iliyoibwa na Bi.Mwanahawa ally UNAVYOJIDHANI HAUFANANI-Jokha kassim,RIZIKI SHORTCUT-Aisha masanja,TOP BONGO-Young Hassan Ally MCHIMBA KABURI SASA ZAMU YAKE-Mrisho Rajabu,UMESUSA TEMBELE HELA YA NYAMA UNAYO-Shinuna kassim pamoja na NIPO SIMPLE-Mosi suleyman
           MKALI SABIHA MAGUMASHI AKITA VOCAL KATIKA KALI ZA T MOTO.
                YOUNG HASSAN ALLY AKIFANYA KWELI NDANI YA TOP BONGO
  MRISHO RAJAB NDANI YA MCHIMBA KABURI SASA ZAMU YAKE.......

                          TANZANIA MOTO MORDEN TAARAB   (T.MOTO TAARAB)
             JOKHA KASSIM NDANI YA T MOTO NA UNAVYOJIDHANI HAUFANANI

             AMIN SALMIN MKURUGENZI WA T- MOTO MORDEN TAARAB
    SASA KAA MKAO WA KULA KUPOKEA VITU VIKALI KUTOKA T.MOTO TAARAB
                       HAPANA CHEZEA UTAUNGUA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...