WAY

Monday, September 12, 2011

UNAKATA KUFAHAMU WASIFU WA WANAMUZIKI WA MUZIKI WA DANSI TANZANIA TOKA WALIPOANZIA MPAKA WALIPO SASA?

Baada ya kuona wanamuziki wengi wa muziki wa dansi kupotea bila ya kujulikana wasifu wao walipoanzia mpaka walipo sasa na hivo kufanya kwa kuwafanya wanamuziki wa dansi wa sasa wakumbukwe duniani kote basi G.MBONGO THA INTERTAINER katika mfululizo wa wasifu au wengi wamezoea kwa jina la kingereza profile za wanamuziki wa band mbali mbali zinazotamba TANZANIA hii ni katika kuhakikisha wasanii wa muziki wa dansi hawapotei kama waliopotea miaka ya nyuma nikiwa kama shabiki namba moja wa muziki wa kiafrica nakuahidi kuanzia wiki hii utakuwa unapata update za muziki wa dansi na ratiba zao vile vile habari zao kupitia blog hii thanks kwa wasanii wote ambao wanashow love na mimi na kuweza kufanikisha hili nalotaka kulifanya kwa ajili ya muziki wa dansi tanzania follow ma back aluta continue vuallaaaaaa
 hapana chezea G.MBONGO TOLEKAAAAAAAAAAAA!

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...