WAY

Tuesday, August 30, 2011

JE UNATAKA KUFURAHI IDD NA MUZIKI WA DANSI TANZANIA SASA NIFUATE MIMI HAPA CHINI

EXTRA BONGO a.k.a WAZEE WA KIZIGO
Watakua meeda pub pande za sinza ambapo watapiga show idd mosi na kuzitambulisha nyimbo zao mpya kabisa ambazo ambazo zitakuwepo kwenye album yao mpyaa kabisa ambayo itazinduliwa mwishoni mwa mwezi wa tisa au mwishoni mwa mwezi wa kumi
extra  bongo inaundwa na wakali kibao ambao walitamba na wanatamba katika muziki wa dansi kama mkurugenzi wa bendi nguli wanamwita le KAMARADE ALLY CHOKI a.k.a mzee wa farasi mzee wa kijiko a.k.a KIBABU CHA LOLIONDO na nguli mwengine le GENERAL BANZA STONE a.k.a mwalimu wa walimu,Osama bin laden,roho ya paka,mabreka,binadamu, na kiongozi wa bendi ROGERT HEGGA CATAPILA a.k.a kilimanjaro na kwenye upande show
anasimama mtu mzima SUPER NYAMWELA, na mwanadada tishio katika show AISHA MOHAMED (MADINDA).





        FM ACADEMIA (WAZEE WA NGASUMA)
Wao watakua katika uwanja wao wa nyumbani new msasani club ambapo watazipiga nyimbo mpya ambazo zitakua kwenye album yao mpya walioipa jina la chuki za nini ambayo itazindulia miezi michache ijayo itakua imesheheni nyimbo kibao lakini zitakazo kwenda kupigwa hiyo kesho ni
ndoa ya kisasa ambayo mtunzi wake mulemule
fataki-mtunzi king blaise
otilia-mtunzi president wa bendi nyoshi el-saadat sauti ya simba
dai chako-mtunzi kichinja
pia ead pili watakua katika ukumbi wa makumbusho na keshokutwa watakua lufita



  MASHUJAA MUSICA
Wao watakua wanazitambulisha nyimbo zao pale makumbusho ambapo watapiga nyimbo mpya kama tatu au nne hivi katika kujiweka saw na maandalizi ya album yao ambapo singo moja tayari bado kuitupa redioni na nyimbo watakazo kwenda kuzipiga siku ya idd kama utambulisho ni
ungenieleza-mtunzi akiwa ni raja
Hukumu ya manafiki utunzi wake jadoo
Uchungu wa moyo utunzi wake jimmy beell huku sauti ya radi rapa number er aliewahi kuitikisa na diamond musica anakuja na rap mpya nasema
"PAKA AKILIA USIKU WANAJUA MCHAWI KUMBE NI PAKA KAPIGWA NA PKA MWENZIE,
na nyingine inasema NIPE KIDUCHU


0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...