WAY

Monday, August 29, 2011

KAA TAYARI KWA TWANGA PEPETA SIKUU YA EAD NDANI YA MANGO GARDEN NA UTAMBULISHO WA NYIMBO ZAO MUPYAAA


Baada ya mapumziko wa mwezi mzima kuupisha mwezi mtukufu wa ramadhani sasa bendi ya kitanzania inayotikisa TWANGA PEPETA INTERNATIOL a.k.a SUGU wanafungukia pande za Mango Garden kwa show moja ya hatari huku safu ya ushambuliaje ikiwa inaongozwa na wakali kibao wa kuimba na kucheza pia.
 TWANGA PEPETA inaundwa na wakali kama DOGO RAMA a.k.a vualla au chezea dogo,CHALZ BABA,LIUZA MBUTU a.k.a mamaa B, KHADIJA MNOGA a.k.a kimobitel,JANET ISINIKE,mkongwe AMIGOLAS, SALEHE KUPAZA na marapa watatu machachari MSAFIRI DIOF a.k.a sokoine,GREYSON SEMSEKWA na J4  na wengine kibao


Dogo rama a.k.a chezea dogo akiwa na amigolas ndani ya mazoezi makali kujiandaa na show ya idd


mtu amig amigola akiwa mzigoni kujifua na kitu cha ead hatari tupu!


nguli wa muziki wa dance MUUMI MWINJUMA akitia vocal katika moja ya nyimbo zilizopo kwenye album yao mpya hii nadhani itakua ni penzi la shemeji stay tune utaickia tu!
hizo drum zitapigwa mpka ziseme hiki nini c unaona jamaa anavyozikaanga?


wakali wa vocal toka twanga ni khadija mnoga kimobitel,Janet isinike,na dadaa luizer mbutu chek nao uone!














0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...