WAY

Saturday, August 27, 2011

KAA TAYARI KWA PABLO MASAI a.k.a Mr.WATER

msanii nguli wa bendi ya fm academia Pablo masai mashabiki wamempa jina la water yaani maji usipoyanywa utayaoga kama si ivo basi utaosha tu yupo studioni akirekodi album yake ambayo itaitia sokoni ikiwa ni solo project,
kwa mijibu wa pablo masai tayari amekwisha tayarisha nyimbo tatu za albuma hiyo huku moja tayari ikiwa inakimbiza katika vituo vya redio.
Wimbo ambao kashautia katika vituo vya radio na sasa akiwa mbioni kutengeneza video yake unaitwa majukumu ambayo amewashirikasha wasanii kama jose mara toka mapacha watatu,toscanee nzimbu na jesus ambao wanapiga wote mzigo fm academia wazee wa ngwasuma, wazee wa mujini,
pia pablo amesema maekishwa maliza nyimbo nyingine mbili ambazo bado ziko kapuni moja ikiitwa MATESO YA MAPENZI na nyingine ikiwa bado haijaipa jina bado.
Pablo masai maesmea baada ya bendi yake kumaliza kuitoa album yao inayokuja mabayo imepewa jina la CHUKI ZA NINI. kwa taarifa zaidi kuhusu album hiyo endelea kunifatilia basi yeye ataitoa ya kwake
Mr.WATER amewashirika wasanii mbalimbali katika album yake hiyo ambayo bado haijakamilika lin itakamilika kuwa wa kwanza kujuia kwa kumfatilia
G.MBONGO tha intertainer

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...