WAY

Saturday, August 27, 2011

kilometa 10000 ya dogo rama kiraka wa twanga pepeta international ishaiva punde tu sokoni!

msanii dogo rama a.k.a vualla. a.k.a kiraka toka twanga pepeta internataional amakamilisha albam yake yenye nyimbo sita ambazo amewashirikisha wasanii mbali kutoka band mbalimbali za muziki wa dance akiwemo rogert hegga(catapila)a.k.a kilimanjaro tanzania toka extra bongo wazee wakizigo mtu kama erick cantona aka mgogo wa mazizini toka diamond musica,mwanadada mkongwe na vocalist wa twanga pepeta khadija mnoga a.k.a kimobitel toka twanga pepeta sauti ya radi toka mashujaa muzika, msafiri diof a.ka sokoine wa twanga,beno villa,amigolas
 album ya kilometa 10000 kumi ya dogo rama ina nyimbo sita ambazo zimeshiba mashairi na zikiwa katika miondoka tofauti kuna nyimbo za rhumba peke yake pia sebene humo ndani utakuta nyimbo kama
KILOMETA 1000 FT MSAFIRI DIOF AND SAUTI YA RADI
SIRI YA MAPENZI FT ROGERT HEGGA NA ERIC CANTONA
CHUKI ZA NINI.
BABA NA MAMA FT KHADIJA MNOGA KIMOBITEL.
IMANI YA MAPENZI FT BENNO VILLAH ANTONY
UZURI WANGU-FT AMIGOLAS
Albam ya kilometa ya dogo rama imetengenezwa katika studio bora kabisa za muziki amoroso sound na ontime production.
 sasa ladies n gentleme ma mabibi na mabwana kaeni tayari kupokea mziki wa ukweli kutoka kwa dogo rama na baada ya album kuingia sokoni ndipo mtapo waona wana kilometa wanavofanya kwenye show mbalimbali mikoani na dar-es-salaam vile vile!
 na ripoti kutoka kwa dogo rama ni kwamba pia ndani ya albam ijayo ya twanga pepeta ambayo itakua na nyimbo mbili walizozifanya na bozi boziana kuna wimbo unaoitwa mtoto wa mwisho ni utunzi wa dogo rama a.k.a vualla!
hili ndio ndio kasha la kilometa 10000 ya dogo rama ukipata jingine jiulize mara mbili

dogo rama a.k.a vualla a.k.a jembee .au .apana chezea dogo

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...