Tuesday, October 15, 2013
Home »
» ALLY CHOKI AFUNGUKA ASEMA WENGI WANAOANZISHA BAND NA KUWASHINDA HUWA WANAKUWA WANAKUA NA TAMAA YA KUPATA FAIDA HARAKA HARAKA WAKATI BAND NI BIASHARA YA KUWEKEZA MUDA MREFU NA MATOKEO YAKE NDIO MAANA WANASHINDWA MAPEMA,PIA ASEMA BAND SASA INABIDI ZICHANGANYE LADHA KWA KUCHUKUA WANAMUZIKI WA KIBONGO NA KIKONGO ILI KUWEZA KULETA UTAMU WA MUZIKI ZAIDI KAMA WANAVYOFANYA WAO EXTRA BONGO AITABIRIA MAKUBWA TOUR YAKE YA KUSINI AMBAPO ANAPIGA MASASI,NACHINGWEA,NEWALA LINDI NA MTWARA MJINI
ALLY CHOKI AFUNGUKA ASEMA WENGI WANAOANZISHA BAND NA KUWASHINDA HUWA WANAKUWA WANAKUA NA TAMAA YA KUPATA FAIDA HARAKA HARAKA WAKATI BAND NI BIASHARA YA KUWEKEZA MUDA MREFU NA MATOKEO YAKE NDIO MAANA WANASHINDWA MAPEMA,PIA ASEMA BAND SASA INABIDI ZICHANGANYE LADHA KWA KUCHUKUA WANAMUZIKI WA KIBONGO NA KIKONGO ILI KUWEZA KULETA UTAMU WA MUZIKI ZAIDI KAMA WANAVYOFANYA WAO EXTRA BONGO AITABIRIA MAKUBWA TOUR YAKE YA KUSINI AMBAPO ANAPIGA MASASI,NACHINGWEA,NEWALA LINDI NA MTWARA MJINI
Related Posts:
SIKILIZA MADINI YA TOWN DIAMOND PLATNUMA ALIVYOFUNGUKA KUHUSIANA NA ISHU ZA KUVUJA NGOMA ZAKE NA NGOMA NYINGINE AMBAYO IPO AMEMSHIRIKISHA MBAYA WAKE TANZANITE LAKINI NAE TANZANITE AELEZEA HIYO NGOMA LAKINI PIA ISHU NZIMA YA USTDH YAHYA MGANGA WA DIAMOND AFUNGA NA DIAMOND NAE ANENA ILA SIKILIZA PIA ISHU YA CHEGE NA RECHEL… Read More
BAADA YA KUTIKISA NA CAROLINA SKYLIGHT KUACHIA NYINGINE MPYA BAND inayokuja kwa kasi sasa nchini ya skylight band yenye maskani yake jijini adr-es-salaam ambao kwa sasa wanatikisa na wimbo wao wa carolina band ya skylight ambayo kwa mujibu wa kiongozi wa band hiyo aneth amesema wameam… Read More
MAPACHA KUZINDUA ALBUM YA YARABI NAFSI TAR 02.03.2013 BUSNEES PARK SASA WAPO KAMBINI BAGAMOYO WAKIJIFUA KWA MAZOEZI MAKALI KWA AJILI YA UZINDUZI HUO UNATARAJIWA KUTIKISA JIJI kusindikizwa na mashujaa,lina na khadija kopa Nikiongea na mkurugenzi wa mapacha watatu KHALID CHOKORAA amesema uzinduzi wa album ya YARABI NAFSI ambayo itakua na nyimbo nane zikwemo NAONEWA walimshirikisha ALLY KIBA ambao upo katika mahadhi ya bongo flever CHANZO WANAU… Read More
SIKILIZA MADINI YA TOWN YA LEO NIKI WA PILI AFUNGUKA KUHUSIANA NA VIDEO YAKE YA NEY WA MITEGO ANATAFUTA MODEL WA KUWA NEY LAKINI PIA SIKILIZA MWANA HIP HOP WAKAZI ALIEAMUA KUJA KUFANYA GAME BONGO BAADA YA KUKAA KWA MUDA NJE YA BONGO LAKINI MSIKILIZE SASHO TOKA LUNDUNO CLICK AKISEMA LICHA YA KUTOKA KINA NIKI MBISHI NA STERIO BADO HARAKATI ZINAENDELA SIKILIZA INTERVIEW ZAO HAPA… Read More
VICTORIA SOUND KUTAMBULISHWA RASMI IJUMAA HII NDANI YA MANGO GARDEN TAYARI WANATIKISA NA MBILI HEWANI SHAMBA LA BIBI NA MWISHO WA SIKU kusindikizwa na extra bongo wazee wa kizigo na jahazi morden taarab BAND ambayo imekua gumzo kwa muda mfupi iliyochini ya kocha wa dunia prince muumini mwinjuma kufanya utambulisho wa band yao siku ya ijumaa ya tar 1.03.13 pale mango garden ambapo wataweza kuzitambulisha pia nyimbo zao mpya … Read More
.


0 comments:
Post a Comment