
Wednesday, October 23, 2013
Home »
» HUU NDIO WIMBO WA MLEMAVU WA MACHO,WAKUZIBA ULIBEBA JINA LA ALBUM UNAITWA TUPENDANE NI KATIKA ALBUM AMBAYO AMEITENGENZA MWENYEWE KWENYE STUDIO ALIZOPEWA NA MDAU MMOJA KUSIMAMIA HIVYO IDEA YOTE YA UTENGENEZAJI YA WIMBO NI WAKE NA KILA KITU KAIMBA MWENYEWE KUANZIA SAUTI YA KWANZA HADI YA MWISHO HUKU AKIMALIZA KWA SEBENE KALI MWISHO, MTU MMOJA KAMA MILIONI MOJA LAKINI PIA NI MKALI WA COPY ZA MUZIKI WA DANSI NA KIAFRIKA KWA UJUMLA AAHIDI MAKUBWA SIKU YA JUMAMOS YA TAR 26.10.2013 NDANI YA MAKONDE ROYAL NIGHT CLUB
HUU NDIO WIMBO WA MLEMAVU WA MACHO,WAKUZIBA ULIBEBA JINA LA ALBUM UNAITWA TUPENDANE NI KATIKA ALBUM AMBAYO AMEITENGENZA MWENYEWE KWENYE STUDIO ALIZOPEWA NA MDAU MMOJA KUSIMAMIA HIVYO IDEA YOTE YA UTENGENEZAJI YA WIMBO NI WAKE NA KILA KITU KAIMBA MWENYEWE KUANZIA SAUTI YA KWANZA HADI YA MWISHO HUKU AKIMALIZA KWA SEBENE KALI MWISHO, MTU MMOJA KAMA MILIONI MOJA LAKINI PIA NI MKALI WA COPY ZA MUZIKI WA DANSI NA KIAFRIKA KWA UJUMLA AAHIDI MAKUBWA SIKU YA JUMAMOS YA TAR 26.10.2013 NDANI YA MAKONDE ROYAL NIGHT CLUB
Related Posts:
MENEJA KEVIN WA FM ACADEMIA AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA YUPO KWENYE MPANGO WA KUPUNGUZA WANAMUZIKI ILI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UENDESHAJI WA BAND LAKINI ASEMA SABABU ZA KUCHELEWA KUTOA ALBUM NI KWA AJILI YA KUTENGENEZA ALBUM AMBAYO ITAKUA BORA NA WASHABIKI KUWA NA HAMU NAYO ZAIDI ASEMA SOKO LA MUZIKI WA DANSI SASA LIMEKUA GUMU ILA AFURUHI ZAIDI KUPIGA SHOW MIKOANI KURUDI TENA MTWARA KUZINDUA NYIMBO ZAO MBILI CHUKI YA NINI NA FATAKI… Read More
DYNA ASHIKILIZA KIDEDEA BEAT YAKE ALIYOIBIWA NA DIAMOND ASEMA YANAYOSEMWA JUU YAKE KITAELEWEKA TU WANAOSEMA ANATAFUTA KICK JUU YA HILO HAWAJUI LILITOKEA ASEMA UTETEZI ANAOTOA DIAMOND JUU YA MUAFAKA YA HILO BEAT BADO HAJAUELEWA MSIKILIZE HAPA AKIFUNGUKA ZAIDI DUH MY NUMBER ONE KWELI UTATA… Read More
PAPPY CATALOGE AFUNGUZA KUHUSU ALBUM YAKE YA KUN FAYA KUN AMBAPO AWASHIRIKISHA WASANII KIBAO KUTOKA BAND TOFAUTI WAKIWEMO ALIOFANYA NAO NDANI YA FM ACADEMIA, ASEMA WANAOSEMA KUNA BAND ZINA UBAGUZI KUHUSU WACONGO NA WABONGO NI WAONGO SABABU USHIRIKIANO UPO WA KUTOSHA KABISA KILICHOKUWEPO NI USHINDANI WA HALI WA JUU KATI YA BA CONGO NA BASWAHILI KITU AMBACHO KINAKUZA MZIKI WA TANZANIA APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA EXTRA BONGO KATIKA ALBUM IJAYO PIA YUPO MBIONI KUFANYA SHOW NYINGINE KUBWA NDANI YA CONGO HIVI KARIBUNI MSIKILIZE AKIFUNGUKA HAPA ZAIDI… Read More
BAADA YA KUFUKUZWA FM ACADEMIA TOSCANEE NZIMBU MTUNZI WA SHIDA YANGU KATIKA ALBUM YA VUTA NIKUVUTE AFUNGUKA NA KUSEMA CHUKI NDIO ILIYOTAWALA NDANI YA FM ACADEMIA NA KUSEMA WENGINE HAWAPOENDI MAENDELEO YA WANAMUZIKI ASEMA SABABU ZA KUSHUKA KIWANGO NI UONGO KWA SABABU INGEKUWA HIVYO ASINGEWEKA WIMBO MPYA NDANI YA ALBUM MPYA SASA WAANZISHA BENDI YAO INAITWA MATRIX MUSIC AMBAPO YUPO YEYE,BEN BIANVANGA,CHEK DAR NA KAMANYOLA AMBAO WOTE WALIFUKUZWA NDANI YA FM ACADEMIA MSIKILIZE HAPA AKIFUNGUKA ZAIDI JUU YA HILO NA UJIO WAO MPYA… Read More
KIPAJI KINACHOKUJA JUU KATIKA MUZIKI WA DANSI ATANAS MONTENABE KUTOKA EXTRA BONGO AMESEMA KWA SASA MAEPANGA KUONYESHA UWEZO ZAIDI KWA KUWEZA KUTENGENEZA ALBUM YAKE NJE YA EXTRA BONGO NA KUSEMA HATA KAMA SOKO LA ALBUM HALILIPI LAKINI KAMA MWANAMUZIKI LAZIMA UONYESHE UWEZO BINAFSI AACHIA SINGLE MOJA KAMA UTANGULIZI ASEMA KAZI NZURI ANAYOIFANYA NDANI YA EXTRA BONGO NDIO KAZI NZURI NDIO INAMPA NGUVU YA KUFANYA VIZURI ZAIDI AFUNGUKA NA KUSEMA KUNA MEDIA MOJA INAJIFANYA NDIO IMESHIKILIZA INDUSTRIES YA MUZIKI WA DANSI NA KUTAKA KUUA ILA DANSI NDIO MUZIKI WA UKWELI MSIKILIZE HAPA… Read More
.


0 comments:
Post a Comment