WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Thursday, March 28, 2013

Tuesday, March 12, 2013

BABY TALL WA TWANGA AFUNGUKA NA KUSEMA WACHEZA SHOW NI WANAMUZIKI KAMA WANAMUZIKI WENGINE NA NDIO MAANA KARIBU KILA BAND KUBWA LAZIMA IWE NA STAGE SHOW NA NDIO MAANA HATA WANAPATA KAZI NJE YA NCHI

STAGE show mahiri wa twanga pepeta FAIDHA KASSIM aka BABY TALL ameweka wazi kuhusiana na kazi yao ya kucheza na kwa kuwa ni kazi kama kazi nyingine na ndio maana hata mwisho wa mwezi wanachukua chao kama kawaida na hata mara nyingine kununuliwa na band zingine kwa bei kubwa na mara pia hata nje ya nchi husasi nchi za kiarabu huwa wanaenda kwa ajili ya kazi hiyo na sio vinginevyo...

Monday, March 11, 2013

BAADA YA KUFANYA KAZI PEKE YAKE KWA MUDA MREFU PAPPY CATALOGUE AFUNGUKA KILICHOMRUDISHA KATIKA BAND NA KWANINI KATUA EXTRA BONGO NA SI KWINGINEKO LAKINI ASEM ATAENDELEA KUFANYA KAZI ZAKE KAMA KAWAIDA

RAPA aliewahi kutamba sana na band ya fm academia PAPPY CATALOGUE ambaye kwa saa ametua rasmi na kuanza kazi ndani ya exta bongo ameweka wazi na kusmea ameamua kurejea katika mizki ya band baaday a kugundua kuwa watu wengi wanapenda kumuona msanii akiwa katika band fulani hata kama atakua anafanyakazi peke yale lakini wakimuona anapiga katika band ndio wanaamini kuwa ni mwanamuziki wa kweli na hata wengine wanahisi kuwa ukifanya solo mmusic bila...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...