WAY

Thursday, March 14, 2013

HUKU WATU WAKIWA NA MASHAKA JUU YA H.BABA KUPIGA SHOW 625 KWA MWAKA WENYE SIKU 365 SIKILIZA HAPA H.BABA AKICHAMBUA KWA KINA NI JINSI GANI ANAWEZA KUPIGA SHOW HIZ JE UNAJUA MWAKA HUU MPKA SASA ANA SHOW NGAPI?KAMA MVIVU WA KUSIKILIZA BASI ANA SHOW 42 KWA MWAKA HUU NA LEO MCHANA ALIPIGA YA 43 ILA KWA KINA ZAIDI SIKILIZA HAPA AKIFUNGUKA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...