WAY

Tuesday, March 12, 2013

BABY TALL WA TWANGA AFUNGUKA NA KUSEMA WACHEZA SHOW NI WANAMUZIKI KAMA WANAMUZIKI WENGINE NA NDIO MAANA KARIBU KILA BAND KUBWA LAZIMA IWE NA STAGE SHOW NA NDIO MAANA HATA WANAPATA KAZI NJE YA NCHI

STAGE show mahiri wa twanga pepeta FAIDHA KASSIM aka BABY TALL ameweka wazi kuhusiana na kazi yao ya kucheza na kwa kuwa ni kazi kama kazi nyingine na ndio maana hata mwisho wa mwezi wanachukua chao kama kawaida na hata mara nyingine kununuliwa na band zingine kwa bei kubwa na mara pia hata nje ya nchi husasi nchi za kiarabu huwa wanaenda kwa ajili ya kazi hiyo na sio vinginevyo na kusema sio kila mtu naweza kuimba basi kila mtu naweza kucheza show kwa hiyo kwa wale wasiojua na kudharau kazi hiyo wakae wakijua kucheza show nako kunatakiwa elimu ya muziki ili uweze kucheza.
                                                FAIDHA a.k,a BABY TALL
aidha baby tall amesema kuwa wacheza show wengi huwa wanakosa deal ya kucheza nje kutokana na kuogopa kupima na ndio maana wengi wao wanaishia njiani kwa sababu katika nchi hizo inatwaki uwe umepima vipimo vyote ndio uweze kupata mkataba

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...