WAY

Monday, March 11, 2013

BAADA YA KUFANYA KAZI PEKE YAKE KWA MUDA MREFU PAPPY CATALOGUE AFUNGUKA KILICHOMRUDISHA KATIKA BAND NA KWANINI KATUA EXTRA BONGO NA SI KWINGINEKO LAKINI ASEM ATAENDELEA KUFANYA KAZI ZAKE KAMA KAWAIDA

RAPA aliewahi kutamba sana na band ya fm academia PAPPY CATALOGUE ambaye kwa saa ametua rasmi na kuanza kazi ndani ya exta bongo ameweka wazi na kusmea ameamua kurejea katika mizki ya band baaday a kugundua kuwa watu wengi wanapenda kumuona msanii akiwa katika band fulani hata kama atakua anafanyakazi peke yale lakini wakimuona anapiga katika band ndio wanaamini kuwa ni mwanamuziki wa kweli na hata wengine wanahisi kuwa ukifanya solo mmusic bila kuwa na band ni sawa na kuwa unafanya muziki kama wasanii wa bongo flver tu na ndio maana akachukua uamuzi wa kurejea katika miziki ya live ingawa amsema mtu akifanya kama solo faida inakua kubwa sana zaidi ya kufanya kwenye band
pappy aliongezxa na kusema kuwa kwa sasaa media nyingi zinajaribu kuwa mziki wa dansi lakini hilo halliwezekani kwa sababu muziki wa dansi una heshima yake tofauti na miziki mingine na ndio maana wanaweza kupiga show kila wiki tofauti na wanamuziki wengine walivyo

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...