WAY

Wednesday, May 14, 2014

TARSIS MASELA JOTO RAIS YAAKUDO IMPACT MBIONI KUACHIA VIDEO YA WIMBO WAKE UNAOTAMBA WA TABIA MBAYA AMBAO AMEMSHIRIKISA MZEE YUSUPH NA KITUNDUU SAUMU

                                             Tarsis masela joto akiwa na mzee yusuph
Akizungumza na blog hii leo kiongozi wa akudo impact ambae kwasasa ameamua kufanya kazi zakelicha ya kuelendelea kufanya kazi na band hiyo kwa sasa akiwa anatamba na singo yake ya tabia mbaya ambayo amemshirikisha gwiji ya mionndoko ya muziki wa mwambao mzee yusuph pamoja na rapa amaekuja juu kwa sasa kutoka akudo impact kiitungu  swaumu amesema kwa yuko mbioni kuachia video ya wimbo huo na baada ya hapo ataachia nyimbo nyingine mbili ndio aweze kutoa album yake ambayo mpaka sasa jina ameliweka kapuni,
Masela amesema amemshirikisha mzee yusuph katika wimbo wake ni katika kuleta ladha tofauti katika muziki wa dansi ambapo unachanganyika na taarabuna kutengeneza ladha tofauti na watu wanaofikiria,
lakini amesema katika muendeleo wa kazi zake atashirikisha wanamuziki mbalimbali kwa album yake itakua na ladha tofauti za muziki ili kuweza kuwa burudani mashabiki wake

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...