WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

TANGAZA NASI SASA

Tuwasiliane kwa Email: gmbongo.chuma@gmail.com

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Keep you Entertained always

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Habari na Burudani

WELCOME TO GMBONGO WORLD

Kwa habari za Burudani na zenye uhakika.

WAY

Wednesday, January 11, 2012

33 AITEMA FM ACADEMIA ATUA RASMI MASHUJAA MUSICA

                  33 ang'atuka rasmi fm academia
Mwimbaji kinara wa sauti ya kwanza wa fm academia amejitoa rasmi katika band hiyo na kuhamia mashujaa musica.
akielezea kilichomtoa fm academia amesema kuwa siku zote nyumba usiyolala huwezi jua wapi panavuja kulikuna na kubaniwa sana na kufanya wasiweze kuvitoa vipaji walivyonavyo hivyo ameona mashujaa musica anaweza kukionyesha kipaji chake na kuweza kutambulika zaidi na wadau wa muziki.
 siku ya jana alitambulishwa mbele ya waandishi wa habari na siku ya kwanza ataweza kuimba nyimbo yake mwenyewe kwenye show itayo zikutanisha bendi tatu jukwaa moja  kati ya extra bongo,mapacha watatu,na mshujaa musica yenyewe.
amesmea akiwa mashujaa ataweza hata kutoa kazi binafsi katika kujiendeleza zaidi huku jambo hilo lilikua gumu wakati yupo fm academia.



Tuesday, January 10, 2012

baada ya kujitoa twanga chalz baba A.K.A Tores kuangukia ama mashujaa musica au extra bongo au mapacha itafahamika ijumaa ijayo

  CHALZ BABA a.k.a torres kaendelea kuutikisa uliwengu wa muziki wa dansi baada ya bendi tatu kuonyesha nia ya kumtaka huku ikiandaia show moja ambayo itawaunganisha bendi tatu extra bongo,mapacha watatu,na mashujaa musica.
 siku ya ijumaa kutakua na show ambaoyo utambulisho wa chalz baba ndio utakua rasmi baada ya kutangaza kujitoa twanga pepeta international.
          CHALZ BABA A.K.A KINGUNGE A.K.A TORRES
akiiongea na mimi mratibu wa show hiyo amaye pia ni meneja wa mashujaa musica Bw khamis amesema kwa udi na uvumba anamuhitaji chalz baba katika sfu yake ya uimbaji ili kuweza kukamilisha album yao ambayo ipo katika hatua za mwisho kukamilika lakini uwopo na uwezo wa chalz baba utakua muhimu sana katkka band yake na kuweza kubadilisha au kufanya mageuzi katika muziki wa dansi hasa katika mwaka huu wa 2012.
Lakini kwa  mujibu wa kiongozi wa extra bongo ROGERT HEGGA CARTAPILA a.k.a.KILIMANJARO amesma kuwa yeye hawezi kusema lolote kuhusiana na hilo na ijumaa ndio siku yenyewe ya hukumu lakini chalz baba ni mwanao kwa kuwa katoka katika mikono yao na ni kama mjomab kwao kwa hiyo kuwa katika kundi lao si jambo la kushangaza lakini zaidi show ya ijumaa itazungumza.
Pia niliongea na kiongozi wa mapacha watatu khalid chokaraa maesma chalz kurudi kwao ni kama mtoto aliepotea na kurudi kundini kwa hiyo siku ndio itakayo amua ni wapi atatua chalz baba torres
lakini pia nilizungumza na meneja wa mapacha watatu amesmea hawezi lizungumiza swala hilo kiundani kwa kuwa chalz keshaign mkataba na bendi nyingine
ila niliongea na hcalz baba siku ya jana kabla hajaondoka kwenda dubai alisema band yenye donge nono ndio atakayofanya nayo kazi
 chalz yuko dubai ikifanya shooting ya nyimbo zake mbili ambazo akirudi baad ya kukamilika kwa nyimbo hizo ataweza kutoa album yake na kuipeleka sokono moja kwa moja huyo ndio chalz baba kwa interviw zaidi sikiliza safari radio kwa wale wakazi wa mtwara Tanzania
    CHALZ BABA KINGUNGE a.k.a TORESS AKIFANYA VITU VYAKE.



Friday, January 6, 2012

CHALZ BABA AJITOA TWANGA PEPETA


MWIMBAJI wa kutumainiwa wa bendi ya muziki wa dansi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ ametangaza kujitoa katika bendi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, msanii huyo alisema kujitoa kwake kumetokana na mambo mengi mojawapo ni kutokuwa na mkataba wa kazi.

Alisema tangu ajiunge na bendi hiyo mwaka 2005 hajawahi kupewa mkataba wowote wa kazi zaidi ya kulipwa mshahara tu kitu ambacho amekiona kama ni kinyume na utaratibu wa kazi.

Chaz aliongeza kuwa baada ya kujitoa ndani ya bendi hiyo kwa sasa atakuwa akisimamiwa na meneja wake aliyemtaja kwa jina la Benard Msekwa.

“Kwa sasa nitakuwa nasimamiwa na meneja wangu mpa (Msekwa) hivyo kila kitu kuhusiana na masuala yangu ya kisanii kitakuwa chini yake, kama ni onyesho ama kuhamia bendi nyingine yote ni juu yake,”Alisema.

       CHALZ BABA A.K.A KINGUNGE AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI
 Aidha, nyota huyo aliongeza kuwa baada ya kujitoa Twanga Pepeta huku akisubiri mambo mengine, ataelekeza nguvu zake katika kuandaa albamu yake binafsi itakayoundwa na nyimbo nane.

“Mpaka sasa nimeshakamilisha vibao kama sita hivi hivyo katika miezi ya karibuni nadhani itakamilika, nyimbo hizo ni pamoja na Nusu Chizi niliowashirikisha Mapacha Watatu, Blandina, Papa Fred, Mayasa na Ninaelekea wapi,”Alisema.

Naye meneja wa msanii huyo, Msekwa alisema kuwa wamekamisha taratibu zinazostahili juu ya kumng’oa Baba Twanga Pepeta ikiwemo kulipa mshahara wa mwezi mmoja.

Kuondoka kwa Charlz Baba kumethibitisha taarifa za kutaka kujiengua kwake, hivyo kufanya bendi hiyo kuendelea kuwa na pengo kutokana na wasanii kadhaa kuondoka katika siku za hivi karibuni.

   CHALZ BABA KINGUNGE AKIWA NA MENEJA WAKE WA SASA BERNAD MSEKWA

Saturday, December 3, 2011

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SHOW YA VIJANA WA MASAUTI AKUDO IMPACT MTWARA NA MASASI

 TAZAMA VIJANA WA MASAUTI WALIVYOFANYA BALAA KUSINI MWA TANZANIA

      


TARSIS MASELA a.k.a RAIS WA FASHENI a.k.a JOTO AKIFANYA VITU VYAKE




   CRISTIAN BELLA a.k.a RAIS WA MASAUTI a.k.a APTOCALYPTO BELLA
    

 ZEGREB a.k.a SURA MVUTO AKIKAMUA VILIVYO NDANI YA MTWARA

                  KANAL TOP a.k.a RAIS YA MARAPER ALIPAGAWISHA WANAMTWARA KWA RAP   YA SHAROBARO

                    ZIGGY STONE MWIMBAJI MPYA WA AKUDO IMPACT VIJANA WA MASAUTI

   WAIMBAJI WA AKUDO NA STAGE SHOW WA KIUME WAKIFANYA VITU VYAO
  UKISIKIA WAKINADADA VIUNO VIUNO HAPA VIKIONYESHWA MTWARA
  
            NIKIWA NA VIMWANA WA AKUDO IMPACT NDANI YA MAKONDE BEACH CLUB
   MASAUTI NDANI YA MASASI ILIKUA BALAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...