WAY

Tuesday, January 10, 2012

baada ya kujitoa twanga chalz baba A.K.A Tores kuangukia ama mashujaa musica au extra bongo au mapacha itafahamika ijumaa ijayo

  CHALZ BABA a.k.a torres kaendelea kuutikisa uliwengu wa muziki wa dansi baada ya bendi tatu kuonyesha nia ya kumtaka huku ikiandaia show moja ambayo itawaunganisha bendi tatu extra bongo,mapacha watatu,na mashujaa musica.
 siku ya ijumaa kutakua na show ambaoyo utambulisho wa chalz baba ndio utakua rasmi baada ya kutangaza kujitoa twanga pepeta international.
          CHALZ BABA A.K.A KINGUNGE A.K.A TORRES
akiiongea na mimi mratibu wa show hiyo amaye pia ni meneja wa mashujaa musica Bw khamis amesema kwa udi na uvumba anamuhitaji chalz baba katika sfu yake ya uimbaji ili kuweza kukamilisha album yao ambayo ipo katika hatua za mwisho kukamilika lakini uwopo na uwezo wa chalz baba utakua muhimu sana katkka band yake na kuweza kubadilisha au kufanya mageuzi katika muziki wa dansi hasa katika mwaka huu wa 2012.
Lakini kwa  mujibu wa kiongozi wa extra bongo ROGERT HEGGA CARTAPILA a.k.a.KILIMANJARO amesma kuwa yeye hawezi kusema lolote kuhusiana na hilo na ijumaa ndio siku yenyewe ya hukumu lakini chalz baba ni mwanao kwa kuwa katoka katika mikono yao na ni kama mjomab kwao kwa hiyo kuwa katika kundi lao si jambo la kushangaza lakini zaidi show ya ijumaa itazungumza.
Pia niliongea na kiongozi wa mapacha watatu khalid chokaraa maesma chalz kurudi kwao ni kama mtoto aliepotea na kurudi kundini kwa hiyo siku ndio itakayo amua ni wapi atatua chalz baba torres
lakini pia nilizungumza na meneja wa mapacha watatu amesmea hawezi lizungumiza swala hilo kiundani kwa kuwa chalz keshaign mkataba na bendi nyingine
ila niliongea na hcalz baba siku ya jana kabla hajaondoka kwenda dubai alisema band yenye donge nono ndio atakayofanya nayo kazi
 chalz yuko dubai ikifanya shooting ya nyimbo zake mbili ambazo akirudi baad ya kukamilika kwa nyimbo hizo ataweza kutoa album yake na kuipeleka sokono moja kwa moja huyo ndio chalz baba kwa interviw zaidi sikiliza safari radio kwa wale wakazi wa mtwara Tanzania
    CHALZ BABA KINGUNGE a.k.a TORESS AKIFANYA VITU VYAKE.



0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...