WAY

Thursday, January 12, 2012

CHALZA BABA KUTAMBULISHWA RASMI KESHO KWENYE SHOW INAYOKUTANISHA BAND TATU

Kesho ndio kesho ni siku ambayo band tatu zitasimama jkwaa moja huku ikishudiwa chalz baba akitambulishwa rasmi kama mwanamuziki wa mashujaa musica.
show hiyo itakayo fanyika katika viwanja vya leaders itashudia band kama extra bongo,mashujaa musica .na mapacha watatu wakiwasha moto wa ajabu na kuleta burudani kwa wapenzi wa muziki wa dansi na mabadliko makubwa
 mbali ya chalz baba kutambulishwa pia mwanamuziki kutoka fm academia na kuhamia mashujaa musica 33 nae atatambulisha rasmi hiyo kesho katika show hiyo!
 MAPACHA WANASEMA WANAMTAFUTA PACHA MWENZAO,EXTRA BONGO WANAMTAKA MPWA WAO, NA MASHUJAA WANAMTAFUTA MTOTO ALIE POTEA KAZI IPO HAPO DUUUUUH! DONT MIC DA SHOW
       mshujaaa musica jukwaani hapa rapa mirinda nyeusi akipagawisha

     GMBONGO NIKIWA NA RAPA WA MASHUJAA ANAITWA MIRINDA NYEUSI

           EXTRA BONGO a.k.a WAZEE WA KIZIGO WAKIWA KAZINI

   GMBONGO NIKIWA NA LE KAMARADE CHOKI MKURUGENZI WA EXTRA
     MAPACHA WATATU WAKIPIGA MZIGO KULIA NI KHALID,JOSE NA KALALA
           GMBONGO NIKIWA NA KIONGOZI WA MAPACHA KHALID CHOKORAA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...