WAY

Tuesday, January 17, 2012

KUONDOKA KWA 33 FM ACADEMIA PREZDENT NYOSHI EL-SAADAT AFUNGUKA

Baada yakujiunga na mashujaa musica akitokea fm academia 33 ambae ni muimbaji wa sauti ya kwanza alisema kuwa kilichomtoa fm academia kuwa kulikua na kubaniwa sna katika band hiyo hivyo ameamua kutanua wigo wake na kujiunga na mashujaa ambako anafikiri anaweza kuonyesha kipaji zake zadi
33 alitambulishwa rasmi ijumaa iliyopita katika viwanja vya makumbusho ambapo zilikutana band tatu katika jukwaa moja
              MBONGO NIKIWA NA NYOSHI EL-SAADAT SAUTI YA SIMBA
lakini kiongozi wa band ya fm academia NYOSHI EL SAADAT SAUTI YA SIMBA amesema 33 ameondoka fm academia kwa kuwa mkataba wake ulikwisha na hakua anamuhitaji tena kwa kuwa hana ushirikiano wala mchango kwa badn kwa kuwa hatungi nyimbo wala kutoa aidia ivo ni bora alivyoondoka na  nyoshi amaesma kuwa kingine kilichomuondoa 33 ni kuwa alikua mtovu wa nidhamu kupita kiasi ivo asingeweza kukaa nae na alikunusha vikali kuwa kwamba fm kuna kuna kubaina wasanii wakati ndio band pekee yenye waimbaji wengi takribani 16
           HAPA NIKIFANYA INTERVIEW NA NYOSHI PAMOJA NA KING BLAISE
  HATA HIVYO NYOSHI EL SAADAT aliongeza kwa kusema kuwa ana mapngo wa kupunguza zaidi waimbaji ambao hawatakuwa na machango wowote katika band ili kupata kikosi imara zaidi kwa hiyo kuongoka kwa 33 ni moja ya mpango wake wa kupunguza wasanii mzigo katika fm academia wazee wa ngwasuma
.                     HUYU NDIE 33 ALIEJIUNGA NA MASHUJAA MUSICA
HATA hivyo nyoshi amezungumzia ujio wa album mpya na kusema sasa wanaanda filamu itakayoitwa chuki ya nini huku kinara akiwa ni PATCHO MWAMBA TAJIRI
                      HAPA NIKIWA NA PATCHO MWAMBA TAJIRI

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...