WAY

Wednesday, January 18, 2012

EXTRA BONGO KUONGEZA WAKALI ZAIDI NA KUACHIA NYINGINE IITWAYO UFISADI WA MAPENZI NA KUZINDUA MWEZI WA TATU JE? MPO TAYARI KUIPOKEA EXTRA BONGO?

Katika mlipuko na mfumukoa wa ukuaji wa muziki wa dansi na ushindani uliopo katika band tofauti tofauti nchini tanzania sasa EXTRA BONGO a.k.a WAZEE WA KIZIGO wameongeza mashabulizi kwa kuongeza wamamuziki kadhaa katika safu ya uimbaji akiwamo muimbaji kutoka T.O.T MZUKA MWANZO MWISHO inayosemekana sasa ni chali mkali REDO KIMAUZO atua rasmi kujiunga na band hiyo kisha vile vile hivi karibuni mwanamuziki wa siku nyingi aliekuepo katika album ya mjini mipango na kukimbilia morogoro anatarajia kurejea anaitwa SUZUKI baada ya hapo baada ya kutanguliza mbili radio ikiwa ni MTENDA AKITENDEWA NA WATU NA FALSAFA ZA MAISHA sasa wako mbioni kuiachia UFISADI WA MAPENZI.
      MBONGO NA LE KAMARADE ALLY CHOKI Nikiongea na le kamarade ally choki A.K.A kibabu cha loliondo amesema nyimbo karibia zote zipo tayari huku akisema album itakua na nyimbo takribani 6 akizitaja baadhi ya nyimbo zitakazo kuwamo ni pamoja na WATU NA FALSAFA ZA MAISHA,MTENDA AKITENDEWA,UFUSADI WA MAPENZI,MAMA SHUU na nyingine mbili ambazo zipo katika mchakato wa kurekodiwa aidha LE KAMARADE amesema kuwa uzinduzi wao utakuwa wakitifauti zaidi ya kwamba watafanya uzinduzi huo hukuwa wakiwa wanatambulisha audio pamoja na video kabisa kwa hiyo vyote viwili vitaenda pamoja huku ikiwa haitachukua muda wataipeleka albumsokoni ila kupunguza walau kidogo wizi wa maharamia.
     HAPA NIKIWA NA MUIMBAJI NGULI LE GENERAL BANZA STONE WA EXTRA BONGO
      NIKIWA NA RAPER FERGUSON MASIKINI JEURI WA EXTRA BONGO

    RAMA PENTAGONE WA EXTRA BONGO MOJA KATIKA SHOW ZAO
Wanaounda extra bongo kwa sasa ni mkurugenzi mwenyewe wa band LE KAMARADE ALLY CHOKI,LE GENERALY BANZA STONE,RAMA PENTAGONE,ATANASI,BOB KISSA,HUKU WACHEZAJI WAKIONGOZWA NA NGULI WA SHOW TANZANIA SUPER NYAMWELA,PAMOJA NAAISHA MADINDA, NA WENGINE KIBAO.

   HAWA NDIO BAADHI YA WANA EXTRA BONGO WAZEE WA KIZIGO

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...