WAY

Monday, January 16, 2012

DIAMOND MUSICA VIJANA CLASSIC OR MAVOICE PROF WAJA UPYA

Baada ya kuondokea na laiekua mkurugenzi wao P.DIDY walikaa kwa muda mrefu sana kabla ya kupata uongzozi mwingine wakiwa chini ya  LE TOP MODEL JUDY MOSHI pamoja na ALEX  sasa  diamond wafunga upya na kuanza kupiga show huku wakitakisa katika vituo tofauti vya radio na wimbo wao mpya SUPU YA KONGORO huku wakataaraji kuachia pia ABDULKARIM ambayo ipo katika mahadhi ya rhumba ya ukweli
              HAWA NDIO DIAMOND MUSICA a.k.a VIJANA CLASSIC

Wakiwa chini ya kiongozi wao ambaye pia ni nguli wa muda mrefu katika muziki wa dasnsi ambaye pia ndie muanzilishi wa rap za kiswahili kutoka kongo ALAIN MULUMBA KASHAMA a.k.a MSTAHIKI MEYA WA JIJI ambae pia ndio mztunzi wa kibao cha supu ya kongoro.
 DIAMOND musica sasa inaundwa na wakali kibao ambao pia ni wazoefu wa muziki wa dansi wengi wao wakiwa kutoka congo kuna wkali kama ERIC CANTONA a.k.a MGOGO WA MAZIZINI ambaya anatamba na kibao chake cha ACHA KULIA akiwa mamemshirikisha mwanamuziki toka fm academia MULEMULE FBI vile vile kuna raper number moja JUICE YA MACHUNGWA na mpiga drums wa siku nyingi KATANYAMA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...