WAY

Wednesday, January 11, 2012

33 AITEMA FM ACADEMIA ATUA RASMI MASHUJAA MUSICA

                  33 ang'atuka rasmi fm academia
Mwimbaji kinara wa sauti ya kwanza wa fm academia amejitoa rasmi katika band hiyo na kuhamia mashujaa musica.
akielezea kilichomtoa fm academia amesema kuwa siku zote nyumba usiyolala huwezi jua wapi panavuja kulikuna na kubaniwa sana na kufanya wasiweze kuvitoa vipaji walivyonavyo hivyo ameona mashujaa musica anaweza kukionyesha kipaji chake na kuweza kutambulika zaidi na wadau wa muziki.
 siku ya jana alitambulishwa mbele ya waandishi wa habari na siku ya kwanza ataweza kuimba nyimbo yake mwenyewe kwenye show itayo zikutanisha bendi tatu jukwaa moja  kati ya extra bongo,mapacha watatu,na mshujaa musica yenyewe.
amesmea akiwa mashujaa ataweza hata kutoa kazi binafsi katika kujiendeleza zaidi huku jambo hilo lilikua gumu wakati yupo fm academia.



0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...