WAY

Thursday, January 12, 2012

H.BABA AFUNGUKA KUHUSU NYIMBO YAKE MPYANA BANZA STONE NA MPNNGO WAKE WA 2012

Mwanamuziki wa kizazi kipya ambaye sasa naibukia katika muziki wa kiafrica baada ya kuachia kibao kikali akimshirikikisha mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi le General banza nza stone a.k.a mwalimu wa walimu roho ya paka kinachoitwa SINA RAHA kibao ambacho kinatikisa katika stesheni mbali mbali za radio nchini tanzania.
                          H.BABA a.k.a POTEZA
H.BABA amesema baada ya kuachia nyimbo tatu kwenye ambazo ni NIPE KIDOGO,SHIKA KICHWA NA SINA RAHA ambayo ina wiki chache tangu aiachie
kwa mujibu wa h.baba anamesema ameamua kubadilika kimuziki akiwa na lengo la kungia katika muziki wa band na live mabao anaamini ndio muziki wa kweli na pia anampango wa kufanya kazi katika band za kitanzania.
huku aikizitolea mfano wa band ambazo anatamani kufanya nazo kazi kuwa ni TWANGA PEPETA au MAPACHA WATATU
                     H.BABA AKIWA KATIKA POZI NA TIPPO
PIA H.BABA amesema si kwakuwa napenda ban ya twanga au mapacha peke ake ila band yeyote itakayokuwa na dau zuri yupo tayari kufanya nayo kazi
aidha h. baba amesema mashabiki wake wawe tayari kuipokea album yake ambayo ipo mbioni kumaliza hivi karibuni
hizo ndizo za moto kuhusiana na h.baba.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...