Wednesday, June 26, 2013
ABDU KIBA .a.k.a mzee wa kidela AMESEMA KWA SASA TAACHA GAME KWA MUDA KISA NINI SIKILIZA HAPA LAKINI PIA KALA JEREMIAH AFUNGUKA KUHUSIANA NA KUURIDA WIMBO WA MAREHEM MAGWEAIR MASKINI WENZANGU,ILA SIKILIZA MAKOMANDO KWANINI WAMEAMUA KUWA WANATOA NYIMBO ZAO VIDEO KWANZA KABLA YA AUDIO ALL IN www.gmbongothaintertainer.blogspot.com
Tuesday, June 25, 2013
Friday, June 21, 2013
DIAMOND MUSICA ORIGINAL WAANDAA SHOW YA KUMKARIBISHA KING OF MELODIES CRISTIAN BELLA AMBAE ALIKUA NJE YA NCHI KWA MUDA MREFU KWA KAZI ZAKE BINAFSI KUSINDIKIZWA NA WAKALI BANANA ZORO NA DULLY SYKES
BAADA ya kukaa nje nchi kwa muda mrefu sasa cristian bella amerejea nchini tanzania ambapo karibu yake imeandaliwa show kabambe na bendi ambayo ni gumzo kwa sasa jijini dar ya DIAMOND MUSICA ORIGINAL iliyo chini ya LIVER HASSAN SULTANI ambapo kwa mujibu wa kiongozi huyo amesema wameamua kuandaa show kwa ajili ya cristiani bella ni kwa ajili ya kuonyesha ushirikiano na sio ya kwamba wanataka atue katika bendi yao ila ni utaratibu ambao amesema wameamua kufanya ili kukuza mziki wa dansi bongo ambao unasemekana unaelekea kupotea lakini anaamini kwa ushirikianona bendi nyingine basi muziki wa dansi utarudi kama zamani hivyo wamendaa show tatu ambazo watapiga na bleea huku show mbili wakijua watazifanya moja ndio itakua tar 28 pale MZALENDO PUB HUKU nyingine ikienda kufanyika pale MANGO GARDEN
AIDHA cristian bella atatambulisha nyimbo zake mpya mabazo zitakua katika album yake ya KING OF THE MELODIES ambayo itakua na takriban nyimbo nane
AIDHA cristian bella atatambulisha nyimbo zake mpya mabazo zitakua katika album yake ya KING OF THE MELODIES ambayo itakua na takriban nyimbo nane
Thursday, June 20, 2013
SKYLIGHT BAND WANA CAROLINA KUDONDOSHA SHOW SPESHO IJUMAA HII NDANI YA TIE VILEGE USIKU WALIOUPA JINA LA USIKU WA MWAFRICA ATAKAVAA KIAFRICA ZAIDI KUZAWADIWA
AKIONGEA na blog hii kiongozi wa skylight band ANETH KUSHABA amesema ijuma hi wameamua kuifanya tofauti zaidi na kuwa kama zawadi kwa mashabiki wao wanaohudhuria kila siku na kuona mabadiliko zaidi katika show watakaoifanya siku hiyo ambayo itatawalia na nyimbo za kiafrica zaidi na mavazi ya kiafrica yatatawala usiku huo huku mshindi atakae vaa kiafrica zaidi kuzawadia na wanaskylight wenyewe,huku akisema lengo ni kukuza muziki wa kiafrica na utmaduni wa kiafrica zaidi ingawa amesema huo sio mwsho wa showkama izo zitakua nyingi tofauti tofauti na hii ikiwa ni kuboresha zaidi na kuwapa mashabiki wa bendi hiyo hamu ya kuendelea kuwa na kwa kufanya vitu tofautizaidi katika muziki wa live
.













