AKIONGEA na blog hii kiongozi wa skylight band ANETH KUSHABA amesema ijuma hi wameamua kuifanya tofauti zaidi na kuwa kama zawadi kwa mashabiki wao wanaohudhuria kila siku na kuona mabadiliko zaidi katika show watakaoifanya siku hiyo ambayo itatawalia na nyimbo za kiafrica zaidi na mavazi ya kiafrica yatatawala usiku huo huku mshindi atakae vaa kiafrica zaidi kuzawadia na wanaskylight wenyewe,huku akisema lengo ni kukuza muziki wa kiafrica na utmaduni wa kiafrica zaidi ingawa amesema huo sio mwsho wa showkama izo zitakua nyingi tofauti tofauti na hii ikiwa ni kuboresha zaidi na kuwapa mashabiki wa bendi hiyo hamu ya kuendelea kuwa na kwa kufanya vitu tofautizaidi katika muziki wa live
Thursday, June 20, 2013
Home »
» SKYLIGHT BAND WANA CAROLINA KUDONDOSHA SHOW SPESHO IJUMAA HII NDANI YA TIE VILEGE USIKU WALIOUPA JINA LA USIKU WA MWAFRICA ATAKAVAA KIAFRICA ZAIDI KUZAWADIWA
SKYLIGHT BAND WANA CAROLINA KUDONDOSHA SHOW SPESHO IJUMAA HII NDANI YA TIE VILEGE USIKU WALIOUPA JINA LA USIKU WA MWAFRICA ATAKAVAA KIAFRICA ZAIDI KUZAWADIWA
Related Posts:
BAADA YA TUZO ZOTE ZA BENDI KUELEKEA KWA MSHUJAA MUSICA BENDI LUIZA MBUTU AFUNGUKA NA KUSEMA HILO NI JAMBO LISILOWEZEKANA NI UCHAKACHUAJI WA HALI YA JUU INA MAANA HATA ALIPOCHUKUA YEYE ANGEKUWEPO MWANAMUZIKI WA MASHUJAA ANGECHUKUA ASEMA WAANDAJI WAJIPANGE TENA KUZINDUA ALBUM YAO NYUMBANI NI NYUMBANI MWISHO WA MWEZI MSANII wa twanga pekee aliepokea tuzo ya band akiwa kama mwanamuziki bora wa kike wa muziki wa bendi ambe pia ni kiongozi wa twanga pepeta luiza nyoni mbutu amsema tuzo za mwaka huu zimejaa hujuma kiasi ambacho hawezi kuamin… Read More
SIKILIZA HAPA MWANAFALSAFA AKIFUNGUKA BIFU LAKE NA LADY JAY DEE NA KUSEMA WATU WANAJAJI BILA KUFIKIRI LAKINI PIA AIZUNGUMZIA SHOW YAKE YA TAR 14 LAKINI PIA VILE VILE SIKILIZA GADNER G HABASH AKIIZUNGUMZIA SHOW YA LADY JAY YA TAR 14 LAKINI JE UNAJUA LADY JAY NA MWANAFALSA NDIO WALIOFANYA COLABLE NYIMBO NYINGI ZAIDI SIKILIZA HAPAfined&outColor=undefined&overColor=undefined&textColor=undefined&tintColor=undefined&pid=&type=7&width=100%" scrolling="no" frameborder="0" allowTransparency="true" style="width:100%;height:160px;"… Read More
RAPA ALIEWAHI KUSHIKILIA TUZO ZA KILI MARA MBILI MFULULIZO KHALID CHOKORAA AJITAPA KUWA SASA ATAIBUKA KIDEDEA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA MUIMBAJI BORA WA KIUME NA KUWAANGUSHA KINA JOSE MARA,CHALZ BABA.DOGO RAMA KWA SABABU KAZI ZAKE KAANZA MUDA MREFU NA ZINAELEWEKA… Read More
SIKILIZA HAPA KALA JERIMIAH AKIELEZEA KWANINI TUZO YAKE YA HIP HOPE KAIPELEKA KWA FAMILIA YA MAREHEM ALBERT MANGWAIR LAKINI PIA AELEZAKWANINI ANARUDIA WIMBO MMOJA WA MAGWAIR ILA PIA UTAMSIKIA QUICK RACK NA UJIO WAKE MPYA ILA PIAUTAWASIKIA VIJANA WANAOKUJA JUU KWA SASA KWENYE GAME YA BONGO FLVER SALMA AND SAADAT… Read More
CHALZ BABA SISITIZA KUWA KAZI NDIO NDIO ZILIZOFANYA MASHABIKI KUWACHAGUA KUWA WAO BORA KWA KILA KITU NA SIO UCHAKACHUAJI SASA KUANDAA MATAMASHA YA BURE KWA AJILI YA WANANCHI Akiwa ameibuka na tuzo mbili za muimbaji bora wa mwaka wa bendi lakini mtunzi bora wa mashairi wa bendi lakini wakati huo huo wakiwa wamechukua wimbo bora wa mwaka wa bendi lakini pia bendi bora ya mwaka nikutokana kazi nzur… Read More
.


0 comments:
Post a Comment