WAY

Tuesday, June 18, 2013

BAADA YA KUWASHNGAZA WAZUNGU NCHINI FINLAND TOTOO ZE BINGWA ATUA BONGO NA ALBUM YAKE ALIYOIPA JINA LA ZERO HUKU AKISEMA NI ZAWADI KWA WATANZANIA LAKINI PIA ASEMA ATAFANYA SHOW NA AKUDO LAKINI SIO MAANA YA KWAMBA AMEREJEA TENA AKUDO

GWIJI la kurap katika miziki ya dansi totoo ze bingwa aliewahi kutamba na bendi kama vile BANA BETA,FM ACADEMIA,AKUDO IMPACT na sasa akiwa anamiliki bendi yake mwenyewe na kuipa jina la SANA SANAA BAND ambayo yuko na kina alain mulumba aliewah kutamba na diamond sound pamoja nakatanyama ingawa anasema kuwa pamoja na kuwa na watu hao ila wapo huru kuipigia bendi yoyote ile au kufanya kazi yoyote ile nje ya sanaa sana bendi lakini pindipo wanapopata show basi wanaweza kufanya pamoja.

AKIZUNGUMZIA festival aliyokwenda kufanya nchini finland amesema imekua ya mafaniko sana ni moja kati ya festila kubwa kabisa nchini humo ambapo pia ameweza kupiga show kadhaa katika mikoa ya lfinlnd naa kusema amesikia fahari ameiwakilisha vyema tananznia ingawa hakuweza kwenda na wanamuziki wake wote wa sanaa sana bendi alioenda nao na vile vile aliokutana nao huko waliweza kukutana na kufanya kitu kitu kimoja cha maana kilochoacha wazungu wakijiuliza
aidha pia toto amerejea na album yenye nyimbo nane huku akisema imefanyiwa mastering ya kimataifa na kusema copy nyingine ameziacha finland na copy nyingine amekujana nazo bongo soon ataanza kuzisambaza

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...