WAY

Tuesday, June 11, 2013

BAADA YA TUZO ZOTE ZA BENDI KUELEKEA KWA MSHUJAA MUSICA BENDI LUIZA MBUTU AFUNGUKA NA KUSEMA HILO NI JAMBO LISILOWEZEKANA NI UCHAKACHUAJI WA HALI YA JUU INA MAANA HATA ALIPOCHUKUA YEYE ANGEKUWEPO MWANAMUZIKI WA MASHUJAA ANGECHUKUA ASEMA WAANDAJI WAJIPANGE TENA KUZINDUA ALBUM YAO NYUMBANI NI NYUMBANI MWISHO WA MWEZI

MSANII wa twanga pekee aliepokea tuzo ya band akiwa kama mwanamuziki bora wa kike wa muziki wa bendi ambe pia ni kiongozi wa twanga pepeta luiza nyoni mbutu amsema tuzo za mwaka huu zimejaa hujuma kiasi ambacho hawezi kuamini kuwa mashujaa musica wanaweza kuchukua tuzo zote za kili ni jambo lisilo wezekana ila kuna biashara iliyofanyika katikati ili kuikuza bendi lakini kuna categori nyingine hawastahili kupewa hata kwa akili ya haraka haraka huku akitolea mfano bendi bora ya mwaka lazima iwe haijapanguka kwa muda wa mwaka mzima lakini pia na hata uzoefu wa kuangalia show pindipo wanapoperfom inaonyesha kuwa hawawezi kuwa bendi bora ya mwaka na kusema kungekua na mwanamke mashujaa basi angeibuka kidedea jambo ambalo lingekua si kweli na hata kwenye categori aliechukua yeye tuzo imebidi watoe kwa sababu wameshindwa kuchakachua.
Aidha luiza amesema hayo yamepita na harakti zinaendelea kwa sasa wako mbioni kuzindua album yao ya kumi na tatu waliyoipa jina la NYUMBANI NI NYUMBANI ambapo itakua na nyimbo sita zilizotunga na
SHAMBA LA TWANGA( Greyson semsekwa)WALIMWENGU(j4)NGUMU KUMEZA(mirinda nyeusi)NYUMBANI NI NYUMBANI(kalala jounior) na nyingine mbili na huku akiongeza kuwa siku hiyo watazindua video za album yao pamoja na audio na watu wajue kuwa twanga pepeta itabaki kuwa twanga daima

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...