WAY

Friday, June 21, 2013

DIAMOND MUSICA ORIGINAL WAANDAA SHOW YA KUMKARIBISHA KING OF MELODIES CRISTIAN BELLA AMBAE ALIKUA NJE YA NCHI KWA MUDA MREFU KWA KAZI ZAKE BINAFSI KUSINDIKIZWA NA WAKALI BANANA ZORO NA DULLY SYKES

BAADA ya kukaa nje nchi kwa muda mrefu sasa cristian bella amerejea nchini tanzania ambapo karibu yake imeandaliwa show kabambe na bendi ambayo ni gumzo kwa sasa jijini dar ya DIAMOND MUSICA ORIGINAL iliyo chini ya LIVER HASSAN SULTANI ambapo kwa mujibu wa kiongozi huyo amesema wameamua kuandaa show kwa ajili ya cristiani bella ni kwa ajili ya kuonyesha ushirikiano na sio ya kwamba wanataka atue katika bendi yao ila ni utaratibu ambao amesema wameamua kufanya ili kukuza mziki wa dansi bongo ambao unasemekana unaelekea kupotea lakini anaamini kwa ushirikianona bendi nyingine basi muziki wa dansi utarudi kama zamani hivyo wamendaa show tatu ambazo watapiga na bleea huku show mbili wakijua watazifanya moja ndio itakua tar 28 pale MZALENDO PUB HUKU nyingine ikienda kufanyika pale MANGO GARDEN
AIDHA cristian bella atatambulisha nyimbo zake mpya mabazo zitakua katika album yake ya KING OF THE MELODIES ambayo itakua na takriban nyimbo nane

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...