WAY

Monday, June 10, 2013

CHALZ BABA SISITIZA KUWA KAZI NDIO NDIO ZILIZOFANYA MASHABIKI KUWACHAGUA KUWA WAO BORA KWA KILA KITU NA SIO UCHAKACHUAJI SASA KUANDAA MATAMASHA YA BURE KWA AJILI YA WANANCHI

Akiwa ameibuka na tuzo mbili za muimbaji bora wa mwaka wa bendi lakini mtunzi bora wa mashairi wa bendi lakini wakati huo huo wakiwa wamechukua wimbo bora wa mwaka wa bendi lakini pia bendi bora ya mwaka nikutokana kazi nzuri walioifanya kwa mwaka mzima katika album yao ya risasi kidole ambayo imepokelwa na mshabiki kwa wingi sana mpka kuipa kura bendi hiyo inayoundwa na wasanii mahiri akiwemo chalz baba mwenyewe lakini pamoja na rapa aliechukua tuzo kuwa rapa bora wa muziki wa bendi FURGUSON na kusema kuwa kazi yao ndio imewafanya hivyo sio wale waliokaa mwaka mzima nyumbani
akizungumza na mm meneja wao bw martini soppter amefunguka na kusema kuwa kwa sasa wanaanda matamsha ya bure sehemu mbalimbali ili kutoa shukuran zao kwa wadau waliowawezesha kuwapigia kura


0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...