WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

TANGAZA NASI SASA

Tuwasiliane kwa Email: gmbongo.chuma@gmail.com

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Keep you Entertained always

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Habari na Burudani

WELCOME TO GMBONGO WORLD

Kwa habari za Burudani na zenye uhakika.

WAY

Saturday, June 30, 2012

MITANDAO YA SIMU YAAMUA KUSHINDANA KIBURUDANI KAMA PROMOTION KATIKA MIKOA YA KUSINI WEKEND HII NI AIRTEL NA ZANTEL WIKI IJAYO VODACOM WASANII SASA MAPROMOTA HOI

Mtindo wa wa mitandao ya simu kufanya promotation za mitandao yao kwa kuleta burudani za wasanii kwa kiingilio cha bure inaonyesha inauwa soko la mapromota wa mikoani waliokua wanategemea kufanya hsow na wasanii kwa kiingilio lakini mwisho wa siku mitandao ya simu inafanya ivo karibu kila mkoa mfano wiki hii leo juma mosi AIRTEL wanapromotion yao ya SUPER 5 show ambayo inafanyika katika viwanja vya wazi ambapo atakuwepo msanii JUMA NATURE,ROMA,MWASITI,WANAUME...

Friday, June 29, 2012

MWANAMUZIKI RAPA NA MWIMBAJI MAHIRI WA MASHUJAA BAND SAUTI YA RADI a.k.a SECOND CHANCE AKANA KUELEKEA EXTRA BONGO

Kama unakumbuka vizuri DIAMOND MUSICA waliweza kutamaba sana na kibao chao cha MAPENZI NI KITU GANI basi mmoja kati ya walionogesh wimbo huo ni rapa SAUTI YA RADI na kibwagizo chake cha "ikitaka matembele utakula matembele walikula bamia wakifiri matembele judy moshi anateleza" na vitu kama hivyo na kwa sasa rapa huyo anatikisa na watoto wa MAMAA SAKINA na PAPAA MAISHA wenye...

Thursday, June 28, 2012

WASANII WA ZAMANI WA CHUCHU SOUND NA SASA WAKO MACHOZI BAND WAKANA KUIREJESHA CHUCHU SOUND NI MAO SANTIAGO NA JONIKO FLOWER

Wakiongea na g mbongo kwa nyakati tofauti MAO SANTIAGO  ambae alishawahi kutamba sana na bend ya chuchu sound iliyokua ikipiga mitindo maridhawa ya chakacha na mduara kipindi hicho wakiwa na kina OMARY MKALI, aABABUU MWANA ZANZIBAR,YUSUPH CHUCHU  mwenyewe JONIKO FLOWER ,KING JOVANII, na wengine kibao inasemekana walirejea tena chuchu sound siku ilipozinduliwa band...

Wednesday, June 27, 2012

MWIMBAJI CHIPUKIZI WA EXTRA BONGO ATANASI MONTENABE AJIPANGA KUTOKA KIVYAKE

Moja kati ya wanamuziki hipukizi katika muziki wa dansi nchini tanzanaia anaembia EXTRA BONGO NEXT LEVEL kijana ATANASI MOTENABE amejipanga kutoka kivyake kwa kutengeneza album yake binafsi ili kujiongezea mashabaiki kuonyesha kipaji chake halisi lakini pia kujiongezea kipato nje ya kile anachokipata akiwa ndani ya extra bongo huku ikiwa tayari amekwisha tengeneza nyimbo...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...