WAY

Saturday, June 30, 2012

MITANDAO YA SIMU YAAMUA KUSHINDANA KIBURUDANI KAMA PROMOTION KATIKA MIKOA YA KUSINI WEKEND HII NI AIRTEL NA ZANTEL WIKI IJAYO VODACOM WASANII SASA MAPROMOTA HOI

Mtindo wa wa mitandao ya simu kufanya promotation za mitandao yao kwa kuleta burudani za wasanii kwa kiingilio cha bure inaonyesha inauwa soko la mapromota wa mikoani waliokua wanategemea kufanya hsow na wasanii kwa kiingilio lakini mwisho wa siku mitandao ya simu inafanya ivo karibu kila mkoa mfano wiki hii leo juma mosi AIRTEL wanapromotion yao ya SUPER 5 show ambayo inafanyika katika viwanja vya wazi ambapo atakuwepo msanii JUMA NATURE,ROMA,MWASITI,WANAUME HALISI na wengineo sasa

Wakati hayo yakiendelea mtwara leo ni ile siku ya usaili wa EPIQ BONGO STAR SEARCH shindano kabambe la kutafuta kipaji cha kusini ambacho kitaenda kushinda na vipaji vingine ambavyo mshindi wa shindano hilo ni million hamsini kutoka zantel huku wakati huo huo wakifanya promotion yao ya ZANTEL MOTO ambapo pia kutakua na special guest kama kina DULLY SYKES,BANANA ZORO,PETER MSECHU na wengine kibao

Huku hayo yakiendelea wiki ijayo ni zamu ya VODACOM ambapo msanii JUMA NATURE NA ROMA watarudi tena wakifatana na kina DIAMOND PLATNUM na weingine kibao hapo sasa ndio swali linapokuja je kwa kufanya hivi kwa kuwapigisha show za bure wasanii kwa makubaliano yao na mikataba je wasanii watakua wanafaidika na mziki kukua au ndio kufa kwa show za wasanii mikoani na mapromota kufilisika au ndio kukua kwa muziki wa kizazi kipya kwa maana show hizi ni za wasanii wa bongo flever tu.
 haya bana mkazi wa kusini jus join the free show sio mpka ulipie.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...