WAY

Wednesday, June 27, 2012

MWIMBAJI CHIPUKIZI WA EXTRA BONGO ATANASI MONTENABE AJIPANGA KUTOKA KIVYAKE


Moja kati ya wanamuziki hipukizi katika muziki wa dansi nchini tanzanaia anaembia EXTRA BONGO NEXT LEVEL kijana ATANASI MOTENABE amejipanga kutoka kivyake kwa kutengeneza album yake binafsi ili kujiongezea mashabaiki kuonyesha kipaji chake halisi lakini pia kujiongezea kipato nje ya kile anachokipata akiwa ndani ya extra bongo huku ikiwa tayari amekwisha tengeneza nyimbo ya ke moja ya rhumba na kusisitiza album yake itakua na rhumba tatu na sebene tatu huku akiwashirikisha  wasanii kutoka band tofauti tofauti lakiini wengi wao wakiwa watanaznia ilikunyesh kuwa na watanzania pia tunaweza kufanya mziki wa rhumba kw kiwango cha juu huku akisema katika album hiyo atwashirikisha wasanii kama CHALZ BABA KINGUNGE  toka MASHUJAA BAND BADI BAKULE TOKA TWANGA PEPETA GREYSON SEMSEKWA WA TWANGA JOSE MARA TOKA MAPACHA WATATU na wengine kibao ambao ataweza kushirikiana nae katika kutengeneza album hiyo

lakini kwa yupo mbioni kuipush single yake lakini pia nasuburi kuzindua kwanza album yao ya EXTRA BONGO mpya ambayo haijapewa jina bado lakini ndani ya album hiyo mpya pia ameonyesha uwezo wake wa rhumba kwa kuandika wimbo mmoja ambao utaachiwa hivi karibuni katika vituo vya redio uitwao NEEEMA na ukiwa na maana ya ni neema ku
mpata mpenzi atakaekuwa nae milele huku sehemu kubwa ya wimbo huo akiimba na LE KAMARADE ALLY CHOKI pamoja na baadhi ya wanamuziki wa band hiyo.

                                         NIKIWA NA ATANAS MONTENABE




0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...