WAY

Monday, April 23, 2012

HATIMAYE MPIGA TUMBA MAARUFU NA MKONGWE NA MUASISI WA TWANGA ANG'OKA TWANGA NA KUTUA MASHUJAA MUSICA DUH!!

Wenyewe wanasema sio kuivunja twanga pepeta bali kukiimarisha kikosi cha katika kuwapa burudani mashabiki wake hiyo ndio kauli ya msemaji wa MASHUJAA BAND baada ya kumuuliza kwanini ni twanga pepeta na hayo yamekuja baada ya kumng'oa nguli wa tumba ndani ya twanga MCD na kutua katika band hiyo huku akiwa ni msanii wa tatu kutoka twanga na kutua MASHUJAAA wa kwanza akiwa ni CHALZ BABA akifuatiwa na LILIAN TUNGARAZA INTERNET, na sasa ni MCD
                                     MCD AKIFANYA VITU VYAKE KAMA KAWA
 na nilipomuuliza mkurugenzi wa twanga kuhusiana na ishu hiyo amesema huo ni mchezo mchafu na tayari amekwisha ripoti baraaza la sanaa la taifa kkuwa watu wanatumia nguvu ya pesa bila kujali mikataba ya wasanii hivyo basata ndio watajua watafanyaje, Nae meneja wa twanga MARTINalisema hawatampeleka mahakamani wasanii wanaovunja mkataba kutokana na kutotaka kuonekana wanawaonea wasanii hao ila itabidi sasa wafanye hivyo kwa yoyote mwengine atakae vunja mkataba na band hiyo ili kuweza kujiimarisha zaidi lakin pamoja na hayo wamejipanga kuchukua mpiga tumba mwengine ambaye ataziba pengo la MCD ingawa hajasema watamtoa kundi gani lakini pia alisema katika kujiimarisha washamchukua BADI BAKULE katika kuongeza nguvu zaidi.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...