WAY

Friday, April 6, 2012

DOGO RAMA AIINGIZA SOKONI ALBUM YAKE NA AIUZA KWA STYLE YA AINA YAKE NI KWA MTANDAO WA SIMU UNAJUA INAKUJAE? PIGA NUMBER 0715370365 AU 0659 158334 KWELI ATAWAWEZA MAHARAMIA!?

Msanii na mkali wa sauti kutoka twanga pepeta dogo rama a.k.a VUALLA ameachia album yake ya kilometa 10000 sokoni ikiwa kaja na style ya kuuza kazi yake kiaina yake ikiwa amtoa number za simu kwa atakaetaka album yake hiyo iliyosheheni nyimbo kali za rhumba tofauti na ilivyo katika album ya band yake ya twanga
 album ya kilometa yenye nyimbo kama MAMA NA BABA,SIRI YA MAPENZI,IMANI YA MAPENZI,CHUKI YA NINI,UZURI WANGU mbao amrudia wimbo wa zamani,pamoja na wimbo alipiga katika mtindo wa sebene na ndio uliobeb JINA LA ALBUM KILOMETA 10000.
                                    DOGO RAMA a.k.a JEMBE a.k.a VUALLA a.k.a kilometa 1000
akizungumzia kuhusu kuchelewa kuingia sokoni kwa album yake anasema alikua anatafuta njia sahihi ya kuweza kuiza kazi yake kwa faida zaidi kutokana na kazi za wasinii wengi kuibia pasi kuwa na faida yoyote amesmea amejifunza mengi sana ss kuhusu hilo anaona kidogo anaweza kuzuia wizi huo!


0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...