WAY

Wednesday, April 4, 2012

ALLY CHOKI AKIRI KUONDOKA KWA RAPA WAKE FURGUSON KUTIMKIA MASHUJAA LAKINI UONGOZI WA MASHUJAA UMEKANA KUMCHUKUA FURGUSON JE UNAJUA ALIPO FURGASON! a.k.a MASKINI JEURI a.k.a DUME LA MBEGU!? KWELI ANAWEZA KURUDI TWANGAAAAA!?

Raper anaeumiza vichwa vya maband nchini furguson inasemekana amejitoa extra bongo na kujiunga na mashujaa musica band ambayo inakuja kwa kasi sana katika tasnia ya muziki wa dansi inayoongozwa na nguli wa muziki wa dansi presdaa CHALZ BABA lakini meneja wa MASHUJAA BAND anaejulikana kwa jina la MAX LUHANGA amekataa kataka kuwa rapa huyo katua katika band yake.
                                  G.MBGONO NIKIWA NA FURGASON a.k.a MASKINI JEURI

                                FURGUSON AKIFANYA VITU VYAKE AKIWA NA EXTRA BONGO Lakini nilivyoongea na kiongozi wa extra bongo kamarade ali choki yeye alikiri kuwa furguson tayari amekwisha jitoa katika band hiyo ingawa aliktaa kusema kama kweli ameelekea mashujaa au la
                           MASHUJAA WAKIFANYA VITU HAPA NDIP FERG ANASADIKIWA KUTUA

Hata hivyo meneja wa mashujaa kwa upande mwingine amesema kuwa kwa kuwa furguson anauwezo kuna uwezekano wa kuweza kumchukua endapo atahitajika katika kikosi hicho kinachotamba na vibao kibao huku wakitarajia kutoa kibao cha mwisho cha RISASI KIDOLE ambayo imetungwa na rais chalz baba FURGUSON alitamba sana na rap za SUGUA KISIGINO,akiwa twanga pepeta na akiwa na band ambayo ameikacha hivi karibuni ametamba na vibao kama NASIKIA BARIDI,CHAKACHUA na nyingine kibao.
  Nae raper FURGUSON amesema hvi karibu atasema anatua band gani ingawa pia anahusishwa na kurudi TWANGA PEPETA
                               TWANGA PEPETA WAKIFANYA VITU VYAO!
Lakini nilivyo muuliza kiongozi wa twanga LUIZA NYONI MBUTU amesema yeye hajui lolote kuhusu hilo na pindipo atakapotua basi umma mzima utajua lakini kwa sasa wao wako kwenye tour kanda ya ziwa kwa hiyo wakirudi ndio watajua zaidi

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...