WAY

Tuesday, April 17, 2012

WAKATI KALIDJO MWANA KITOKOLOLO KUKU WA FM ACADEMIA AKISHANGALIA KUPATA TUZO YA RAPER BORA WA MUZIKI WA DANSI MARAPA WA KUTOKA BAND ZINGINE WAKATAA KATAKATA

Niliongea na rapa kiongozi wa mashujaa musica ibra mirinda amepokeaje ushindi wa kitokororo kuku wa fm academia kwa kupokea tuzo ya rapa bora wa musiki wa dansi alichokisema ibra mirinda kua yeye hajashindana na kalijo kwa hiyo kivovyote vile kalijo hamuwezi hata kidogo na anashangaa mchakato wenyewe wa kuwapata washiriki hajui hata unaendaje anasema angekubali tu endapo kwenye category hizo na jina lake lingekuwepo na akasema ni bora wangechukua marapa kutoka band zote kubwa kuliko kuchukua au kuchagua vile wanavyojua wao kwa ushindi ho anasema ni swa na hakuna na anaamini yeye ni bora kuliiko rapa mwengine yoyote katika muziki wa dansi hadi pale na yeye atakapowekwa kwenye mashindano na akashindwa na pia akazungumizia upigaji kura pia ubadilike ndio na yeye aweze kushiriki katika tuzo hizo za mwakani.

                                    MIRINDA NYEUSI ANAEKATAA USHINDI WA KALIDJO
Aidha amesema mashindano hayo yanakosa msisimko kutokana na band za muziki wa dansi kushindwa kualikwa katika kusherehesha shughuli hizo na mwisho tuzo hizo kuonkana ni za wasanii wa bongo flever tu.

          NIKIWA NA FURGUSON AMESMEA MAESHIKIRIKISHWA BILA RIDHAA YAKE
Nae rapa anaetikisa kwa sasa akitokea extra bongo wazee wa kizigo furguson amesema yeye alikwisha jitoa katika kinyang'anyiro hicho na alishasema hataki kabisa kushiriki katika tuzo hizo na hata ushindi huo hautambui na kusema kuwa na endapo watamjumuisha tena katika mashindano hayo basi atawashtaki na itabidi wamlipie fidia kutokana na usumbufu huo. Furguson alikuwepo kwenye category hiyo akiwa na khalid chokoraa,msafiri diof,kalidjo mwana ambapo mwisho wa siku kura ziliamua kitokololo ndio kiboko yao.
 KHALID CHOKORAA ANASEMA YEYE NI KURA TU HAZIKUTOSHA KUMPA USHINDI
Wakati hayo yakiendelea kwa upande wake rapa alieshikiliza tuzo hizo kwa miaka miwili mfululizo KHALID CHOKORAA amesema tuzo zilienda poa ila kilichomfanya ashindwe ni  kutokana na utaratibu wa kupiga kura kwa hiyo dhahiri kura hazikutosha kwa yeye kuweza kuchukua tuzo hizo kwa mara nyingine tena ingawa na yeye amebleam kuhusiana na uendeshaji wa tuzo kwa kudai kuwa umejaa zaidi wanamuziki wa bongo flever.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...