WAY

Thursday, April 5, 2012

LICHA YA ALLY CHOKI KUKIRI KUONDOKA KWA FURGASON.. RAPA HUYO ASEMA YEYE NI MWANAMUZIKI HALALI WA EXTRA BONGO HUKU VIONGOZI WA MASHUJAA WANAJIKANGANYA MENEJA ANASEMA HAWAJAMCHKUA RAIS WA BAND ANASEMA WAMEMCHUKUA KAZI HIYO!

Licha ya mkurugenzi wa EXTRA BONGO le KAMARADE ALLY CHOKI kukiri kuwa mwanamuziki furguson si wa kwake tena lakini mwanamuziki huyo azidi kung'ang'ana kuwa bado ni mwanamuziki halali wa band hiyo kwa kuwa bado ana mkataba wa mpka mwezi wa kumi na mbili kwa hiyo uvumi wa kuwa anahamia mashuja ni uvumi mtupu na ameshanga kwanini mkurugenzi wake huyo amekana kuwa si mwanamuziki wake tena,

                                 LE KAMARADE ALY CHOKI ASEMA FURGERSON SI WAKE
lakini nilipomuuliza kiongozi wa band hiyo ya extra bongo rogert hegga cartapila ameseme yeye anamtambua furguson kuwa ni mwanamuziki wa band hiyo na siku atakapohama basi umma wote utajua ila kwa sasa yote yanayosikia ni habari za uzushi
                                FURGURSON RAPA ANAESUMBUA VICHWA VYA WATU
Nilivyozungumza na furguson mwenyewe yeye anasema bado yupo extra bongo ila endapo kama kuna band itamtaka basi yupo tayari kwenda sa long watakua na pesa ya kumlipa


                                 RAISI WA MASHUJAA BAND CHALZ BABA AKIRI KUWA FURGUSON WATAMCHUKUA                    

wakati hayo yakijiri nae Rais wa MASHUJAA BAND chalz baba amesema kuwa furguson ni mwanamuziki wao kasoro mambo madogo tu ambayo hawajakamilisha lakini hivi karibuni atatambulishwa rasmi katika jukwaa la mashujaa band

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...