WAY

Friday, June 29, 2012

MWANAMUZIKI RAPA NA MWIMBAJI MAHIRI WA MASHUJAA BAND SAUTI YA RADI a.k.a SECOND CHANCE AKANA KUELEKEA EXTRA BONGO

Kama unakumbuka vizuri DIAMOND MUSICA waliweza kutamaba sana na kibao chao cha MAPENZI NI KITU GANI basi mmoja kati ya walionogesh wimbo huo ni rapa SAUTI YA RADI na kibwagizo chake cha "ikitaka matembele utakula matembele walikula bamia wakifiri matembele judy moshi anateleza" na vitu kama hivyo na kwa sasa rapa huyo anatikisa na watoto wa MAMAA SAKINA na PAPAA MAISHA wenye maskani yao vingunguti nadni ya ya MASHUJAA PUB ndipo inapotokea band ya mashujaa musica na sasa SAUTI YA RADI anatikisa na rap yake ya "DAKIKA MOJA KWENYE SIMU GRIII EE KWENYE SIMU"

basi sauti ya radi inasemekana kwa mujibu wa mkurugenzi w extra bongo LE KAMARADE ALLY CHOKI kwa kusema kuwa kuondoka kwa furguson ndani ya band hiyo kwenda mashujaa ni makubaliano ya kubadilishana na sauti ya radi pindipo atakapo maliza kuzindua album yao ya mashujaa musica 
                                        NIKIWA NA SAUTI YA RADI
Lakini mimi kwa ufukunyuku wangu nikamtafuta SAUTI YA RADI nakumuuliza kama najua lolote kuhusu hilo lakini eye akasema huo ni uzushi na maneno ya mtaa yeye hafikirii kabisa kuondoka mashujaa labda sijui iweje ila yeye yupo mashujaa musica miaka mia moja na nilipomuuliza endapo kama yuko tayari pindipo bosi wake akisema ivo kwa mujibu wa sauti ya radi kasema hayupo tayaaari kabisaaa kuelekea extra bongo.
 Kwahi kwa wale mashabiki wa mashujaa na sauti ya radi kama ulisikia habri hizo jua dhahiri kwa kauli ya sauti ya radi kwamba bado yupo mashujaa sana tu na anamkataba na mashujaa

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...