WAY

Wednesday, July 4, 2012

LE GENERRALY BANZA STOE AKANA KUHAMA EXTRA BONGO NA ASEMA HAYUPO TAYARI KUTENGENEZA ALBUM YA TAARABU KAMA INAVOSEMEKANA ILA AMEREKOD TAARAAB KWA ANATAKA KUDHIHIRISHA KIPAJI CHAKE

Msanii nguli wa muziki wa dansi ambaye kwa sasa anatamba ni vibao kadhaa vya taarabu kama vile KUZALIWA MJINI NA PLAY BOY ambavyo kwa mujibu wake vimetungwa na nguli wa mashaii na mtunzi wa nyimbo za taarabu kwa sasa thabit abdul kuwa lengo la kuimba taarabu ni kuonyesha kuwa yeye ni mwanamuziki na muziki wowote anweza kufanya as long as amepewa tungo za nyimbo hizo na 
na pia ametabainaisha zaidi kuwa kuimba nymbo hizi ni kujiongezea kipato kwa sababu kazi hiyo ilikua ni kujazia album ya THABIT ABDUL  hivyo baada ya kumalliza kurekodi nyimbo kwa sasa ipo chini ya thabi abdul amaye pia ni rafiki yake wa muda mrefu sana

 Lakini pia banza alihusishwa na kuanza kazi katika kundi la mashauzi classic na kusema yeye aliweza kupanda mara moja tu katika jukwaa la mashauzi na wala hafikirii kuacha mziki wa dansi na kuingia moja kwa moja kwenye taarabu ila itakapo baina kuwa mziki wa taarabu unalipa basi na yeye hana shaka atakua mmoja kati ya wasanii wanafaidika na mziki huo lakin kwa sasa anafanya kwa kujiongezea kipato tu
Pia banza stone ameweka wazi mpango wake wa kutengeneza albam yake minafsi ambayo amesema ataita MEGA MIX ambapo atazirudia nyimbo zake zilizowahi kutamba katika kipindi cha nyumba kama vile ELIMU YA MJINGA,MTAJI WA MASKINI,EURO 2010 na nyingine kibao ambazo zitaomba na mashabi azirude basi atazirudia.

ila banza amesema mbali ya kufanya kazi extra bongo ila kwa sasa anawasaidia  wasanii wachanga hasa wabongo flever katika kuwasaidia kufanya chourus na vitu kama ivo ikiwa ni katika kujiongezea kipato pia
 na kwa sasa banza anasumbua na kibao chake alichotunga akiwa na extra bongo WATU NA FALSAFA ZA MAISHA.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...