WAY

Wednesday, July 11, 2012

COLETER RAYMOND MWANAHABARI ANAYETIKISA KATIKA BONGO FILAMU ASEMA SOKO BOVU NDIO CHANZO CHA KUTENGENEZA MOVIES ZISIZO NA UBORA,PIA AKILI MARA NYINGI SKENDO ZA WASANII HUWA NA UKWELI NDANI YAKE LAKINI PIA AWAWAKIA MADEMU WANAOJIRAHISISHA KWA MAPRODUCER

COLETER ndio jina linalomwingizia hela lakni coleter raymond ndio jina la kuzaliwa alianzia sanaa yake katika moja ya vikundi vilivyotoa wasanii wengi kwenye filamu kwa sasa KAOLE SANAA GROUP  na ndio kundi walilotoka waigizaji wengi wazuri achilia mbali wali0onza hivi karibu hapa nawazungumzia kama kina VICENT KIGOSUII,a.k.a RAY,TEA,MAINDA,BI MWENDA,BEN,SAJUKI,MAREHEMU STIVE KANUMBA na wengine kibao akiwemo COLETER
                                                 COLETER KATIKA POZI
AKIZUNGUMZIA kwanini movie zinatoka mfululizo na je zinaubora unaohitajika? amesmea moja njaa ndio inaowafanya watoe mfululizo na wakati mwengine unakuta hata nadni ya wiki mtu keshamaliza movies mbili part one na two lakini pia wakati huo hata party two hainaulazima ili kupata walau kidogo hawana budi kufanya ivo na matokeo muvi nyingi sana zinakua na ubora mdogo ingawa amesema zipo movie ambazo kwa sasa zinaueleko na akifananisha walipotoka kod0go sasa ni auheni yaani afadhali wanapata walau kifuta jasho na zinachukua muda kutengenezwa.
                                       COLETER IN ACTION
Lakini pia masema mara nyingine maproducer wanahiyari kuwatafuta waigizaji rahi rahisi ili kukwekpa gharama na wakati mwingine hata wao huwa wanafanya kwa kuwa wananjaa hata inafika wakati unaona kabisa moivie ya kucheza kwa milion moja wanalipa laki mbili mwisho wa siku inakua ni umaarufu pasi na kuwa na kitu.
si hayo tu coleter pia  wasanii wengi ambao hawajapitia kwenye vikundi ndio waliokosa maadili na ndio wengi wanaochafua tasniia nzima ya filamu kwa kuwa hawajui wanachokifanya tofauiti na wale waliosota katika vikundi vya sanaa huku pia akithibitisha kuwa skendo nyingi zinazoandikwa kwenye magazeti ya udaku ni ukweli mtupu kwa mengi yao na ndio maana wakati mwengine wanashindwa hata kukanusha
 ILA COLETER amesema amekaa kimya kiasi fulani katika kulisoma  game na kwa mara ya kwanza mwaka huu anataka kutoka na movie yake kwa kuwa zote alizowahi kucheza alikua akishirikishwa tu kwa hivo amewataka mashabaiki wakae makao wa kula kumuona akitoka na moivie yake mwenye lakini kwa kuna movie ya CHEK BUDI mabayo na yeye yumo ndani iitwayo DIKTETA mambayo kwa sasa inapatikana madukani kote so go n buy ur copy ya moiveis ya dikteta
LAKINI PIA MASISITIZA KUW KWA SASA HAKUNAMGOGORO WOWOTE ULE NDANI YA TASNIA HIYO KUHUSIANA NA BONGO MOVIES AU CHAAMA CHA WASANII WOTE WAKO CHINI YA RAIS MMOJA TU
HUYO NDIE COLETER RAYMOND

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...